Insha Allah 🙏✅
kuanzia Tar 16 hadi 19, 27 teams
Odds 200
Naamini Mungu anasema YES.
Kesho 16:30 unaenda Hewani.
RETWEET & mtag mwanao asipitwe na huu mkeka
@Sativa255@GivaTips @BestOddTips @due_cakes@Driskid3
Chemistry Imekuwa Kubwa … You Wanna Enjoy? Michano Heavyyyy?
Listen Up *CHAMAREMIX From BANNY x KELVINE SCAPLA x YOUNG CHII & PAPA!!!*
https://t.co/ZnI9yNzFvB
Click The Link Subscribe, Like & Share
KCBBANKTZ Advert
Directed by: @stimo_stevetz cc @jeff_creatives
Edited by @stimo_stevetz
Graphics by @jeff_creatives
Colorist by @stimo_stevetz
Cast: #Kcbbank_Team cc @highclicktz
Ambao hawatakuwepo kesho;
- Paul Pogba
- Aaron Wan-Bissaka
- Eric Bailly
- Jesse Lingard
- Timothy Fossu-Mensah
- Anthony Martial
- Luke Shaw
- Diogo Dalot
Kwa hiyo jamani kutu’bully kama tutafungwa wakati mnajua ni kwa sababu ipi haitakuwa uungwana..natanguliza shukrani.
Ninawashukuru Mamlaka ya Maji Safi Tanga #TangaUWASA kwa kuunga mkono jitihada zetu za kuboresha sekta ya Elimu @tanga_jiji kwa kuchangia madawati 40 kwa ajili ya Shule ya Msingi Kibafuta na S/M Kiruku za Kata ya Mabokweni. Pia mifuko ya saruji 40 kwa S/M Pande #KaziJimboni 🤝
Mwezeshaji wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya,Dkt.Faraja Msemwa akifafanua umuhimu wa vifaa Kinga, kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala wakati wa kuigiza zoezi la hilo lililofanyika katika kituo hicho
Tumepokea kwa masikitiko makubwa Taarifa kuhusu Ajali ya Moto iliyotokea leo Morogoro. Serikali kupitia @wizara_afyatz tunaendelea kuhakikisha majeruhi wa ajali hii wanapata huduma za matibabu haraka!… https://t.co/Xi7F3yEde2
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya kutoka kuwajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya moto ambao wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam
#PoleniSanaNduguZetu. Ninawaombea majeruhi wote uponaji wa haraka. Na kwa wale waliofariki, WapumzikeKwaAmani #Repost from @wizara_afyatz. - Morogoro
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto… https://t.co/vIxfyf77WP