@SaumuYanga@ze_mandevu Wachaga wana Mungu wa Mvua, Mungu wa Uzazi, Mungu wa kilimo.. ndo maana nikasema hawaamini uwepo wa Mungu mmoja… wanigeria wana Olodumare, Axé, Mami wata nk
@ancient_gen@ze_mandevu Ukinambia nisome Biblia ili niamini Mungu yupo ni sawa na kuniambia niangalie movie ya Spiderman ili kujidhihirisha spiderman yupo
@ancient_gen@ze_mandevu Matendo ya watoto kufa na Kansa? Watu wasio na kitu kuteseka? Utumwa? Na nitajie tukio moja tu ambalo huyo Mungu amewahi kufanya duniani? Hata kumponyesha mlemavu wa kidole?
@ancient_gen@ze_mandevu Kitu gani kinafanya uite miungu mingine ni ya uongo na huyo wa ibrahimu asiwe wa uongo? What makes him so special?
Majibu yasitoke kwenye vitabu
Alcohol might be the greatest scam ever sold. You pay for something that tastes awful, lowers your standards, clouds your judgment, damages your body, and leaves you feeling worse the next day. Somehow that’s called fun.