@PMadeleka Hata Mimi kuna muda mawakili mnayo nafasi ya kusaidia police mnapoona mtu katenda kosa na police awajachukuwa hatuwa nyie mawakili mnayo nafasi yakuchukulia watu hao hatuwa za kisheria ili wakikutwa na hatia wahazibiwe
@assengajrr Tifautisha watu wanaotetea kweli na wale wanaotetea kitu Kisichokuwepo na ukitaka kuamini watu wapo na chadema fatilia comments kote ambako zinapostiwa hizo video pia fatilia michango mpaka sasa watu wanachanga
@KihongosiUfunuo Mkitenda haki amani inakuja yenyewe bila hata kutumia nguvu haki ndio mti pekee ambao ukiumwangilizia mbolea unapata kila kitu unachoitaji
@KihongosiUfunuo Hivi kwanini watu wanao hubiri kuhusu amani wanasahau kwamba wao wakwanza wanapaswa kutowa haki ili wao wapokeee amani hiyo hakuna kitu kinachokuja bila kutoka kitu huwezi kuacha kutenda haku unatengemea amani hilo aiwezekani nyie tendeni haki tu
@MJELELOO@EduTalkTz Kwani kinachofanyika huku ni sahihi? Kama tu tunahamini tanzania ilisaidia inchi zingine kujikombowa kwanini inchi zingine zisisaidie watanzania kujikombowa?