Otieno Yoooo!!
Mabala the farmer
Hawa the bus driver
Three suitors one husband
Takadini
Ngoswe kipenzi kitovu Cha uzembe
.. ukizembea lazima uwe mhusika mmoja wapo humo✍️
ogopa Sana kitu chenye majina tofauti tofauti,Ni ngumu kukipata na kinahitaji utulivu Sana kukaa nacho na kinaua, kinauzi , kina majuto, be careful.mfano pesa,mtonyo, Mara hela, kibunda, money, shilling.