BREAKING: Mlinzi wa Majaliwa- PM (Pichani) ametekwa, kateswa sana. Mlinzi mwingine, Maftah Kaswaka, yupo Mzena ameshambuliwa na watu wasiojulikana. Amefanyiwa upasuaji kwa masaa mengi.
Majaliwa na Mwinyi walikua wameandaliwa na Magufuli. Vita ya Urais 2025 ni kubwa sana #TzLeaks