Nahodha John Bocco ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Mei (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month).
Hongera Bocco 👏 #NguvuMoja
Today I’m the proudest father in the world as my daughter graduates.
Congratulations my princess! May Allah guide and protect you always 🙏🏽
#Alhamdullilah ♥️
Kama mwanamke wako akianza kukupiga, na kukutupia vitu kwa sababu amekasirika,Mvute taratiiibu mnong'oneze kwa upole "Baby unachofanya wanafanyaga wazungu,nitakupiga nikuuwee🤣🤣😂😂😂
Jiji la Dodoma limekua sana..Especially kwa sisi tuliowahi kuishi 90's na sasa ni vitu tofauti kabisa 🙌🏿🙌🏿Landscape kama Vegas kabisa 🔥🔥🔥Tanzania ni nzuri sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿