Top Tweets for #temeke
Baada ya #Kinondoni na #Temeke, sasa ni zamu ya Ilala kupata njia rahisi ya kumiliki #simu mpya! β
π Unahitaji simu mpya kwa mkopo nafuu?
π Unataka kujua zaidi kuhusu #WatuSimu?
Tunakuletea urahisi wa kumiliki simu, ukituona kwenye mtaa wako, usisite kutusogelea! π

Kupitia mradi wa #WanawakeSasa unaofadhiliwa na @IrlEmbTanzania , @WiLDAFTz inaendelea kutoa mafunzo kwa viongozi wa dini kutoka wilaya za #Ilala, #Temeke, na #Kinondoni. Mafunzo haya yanalenga kuwashirikisha viongozi wa kidini katika kubadili mitazamo ya waumini wao, ili kuunga mkono uongozi wa wanawake na ushiriki wao katika siasa
#WanawakeSasa #nitashiriki

Sikiliza 'nondo' za Mkuu wa Wilaya ya Temeke, @sixtusmapunda akielezea umuhimu wa 'kuwapamba' wachezaji wa timu ya taifa kabla na wakati wa kushiriki michuano ya kimataifa kama #CHAN2024 na #AFCON2024
β @abuuyusuftz
#Viwanjani #Temeke #AFCON #CHAN
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam, Sixtus Mapunda amesema michuano ya CHAN ina umaalum mkubwa kwenye wilaya hiyo, hivyo wana wajibu wa kujiandaa hasa katika kuitangaza Tanzania kwa namna tofauti.
β @abuuyusuftz
#Viwanjani #Temeke #CHAN2024
1 in 5 girls aged 15-20 in areas like #temeke in #daressalaam may be out of school, engaging in illicit and dangerous behaviours and may not have equitable access to learning even basic life skills. @DarShapers aims to tackle this with its "Niboreshe" initiative.

#TEMEKE Mkurugenzi wa Elimu kwa mlipakodi na Mawasiliano wa TRA, Bw. Richard Kayombo akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Kikodi Temeke pamoja na kuwalisha keki katika hafla ya Wiki ya Huduma kwa Mteja iliyoanza leo 07/10/2024 Dar es Salaam.

KINONDONI NI AZAMPESA!!
Timu yetu ya mauzo imejipanga vyema kuhakikisha kwamba wananchi wa KINONDONI na viunga vyake wanafurahia huduma nafuu kwa Azampesa.
Wakala na watumiaji wa Azampesa TEMEKE wameongezwa.
#azampesa #liajabulakweli #temeke

π¨#BREAKING_NEWSπ¨
Kamanda @DEUSDEDITHSOKA na vijana wenzake wa #TEMEKE na #ILALA wameachiwa muda huu na polisi @tanpol bila masharti. Polisi wanaulizwa kosa lao ni lipi hawana cha MAJIBU. VIJANA wa Nchi hii inabidi Tutengeneze "MPANGO"wa kuzuia UONEVU usiendelee.

Tumeendelea na #OperationMguukwaMguu Kata ya #Buza #Temeke tumezungumza na WANANCHI na kuona ni jinsi Gani Maisha na Uchumi wa WANANCHI ulivyozorata Hali ni mbaya mtaani hata mlo wa mara Moja kwa siku umekua kitendawili kisichotegulika.
Mwenyekiti Bavicha Jimbo la Temeke @DEUSDEDITHSOKA Akiendelea na #OperationMguukwaMguu katika Kata ya #Buza #Temeke kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga KURA kama Sehemu ya Maandalizi ya Ushindi wa Chadema katika UCHAGUZI ujao.
Jana tumeendelea na #OperationMguukwaMguu Kata ya #Buza #Temeke tumezungumza na WANANCHI na kuona ni jinsi Gani Maisha na Uchumi wa WANANCHI ulivyozorata Hali ni mbaya mtaani hata mlo wa mara Moja kwa siku umekua kitendawili kisichotegulika.
Muda umefika Ccm inapaswa kuondoka!
DAY 02: OPERESHENI MGUU KWA MGUU JIMBO LA #TEMEKE
Leo ilikuwa zamu ya kata ya makangarawe, kufanya operesheni ya #MguuKwaMguu. Operesheni hii ni endelevu kuhakikisha wananchi wanapata elimu ya haki zao na kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.
#OperesheniMguuKwaMguu
Leo Tulipita #MguukwaMguu Kata ya Chang'ombe Wilaya ya #Temeke tunatoa elimu kwa Umma kujua haki zao na kuhamasisha Wananchi kujiandikisha katika daftari la Mpiga kura Serekali ya Mtaa. Leo tumefikia wakazi elfu Moja
Operation hii imeanza Asubuhi Leo
na itaendelea tena Kesho π

Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv anadai Soko la Kijichi lililopo kwenye Halmashauri ya Manispaa ya #Temeke lililojengwa kupitia Mradi wa uboreshaji wa Miundombinu Dar es Salaam (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia, limetelekezawa licha ya kujengwa kwa gharama kubwa
Anadai baadhi ya Viongozi hususani ngazi ya Halmashauri ya Temeke wamekuwa wakitembelea mradi huo lakini hakuna kinachoendelea
Soma https://t.co/eSXQpaKAop
#JamiiForums #Governance #Accountability

Katibu Mkuu Ndugu, @AdoShaibu alikuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano wa hadhara Kata ya Tandika Jimbo la #Temeke . Katika hotuba yake amewataka viongozi, Wanachama na Wananchi kujipanga kuweza kukabiliana na mapambano yaliyoko mbele yetu kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

#SEEPTanzaniaprogram at Miburani #SecondarySchool! Our recent school outreach and seminar at Miburani Secondary School, #Temeke was a huge success! #WorldCleanupDay #LetsDoItTanzania #sustainableenvironmentaleducationprogramme #LetsDoItWorld

Check out the incredible strides we've made with our #SEEPTanzaniaprogram! We've reached over 45+ schools in our school outreach efforts, spreading the power of the #SEEPTanzaniaprogram! #sustainableenvironmentaleducationprogramme #LetsDoItTanzania #LetsDoItWorld

#TANZANIA: @DEUSDEDITHSOKA ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Wilaya ya #Temeke akiwasha sakata la Rusha na namna inavyorudisha nyuma ndoto za watu wengi adai nchi inaendeshwa na ka kikundi cha watu wa chache, ataka Wananchi waendelee kudai #KatibaMpya.
Zaidi: https://t.co/4ljigFt8pY
Last Seen Hashtags on Sotwe
ensest
Seen from Turkey
genderchange
Seen from Turkey
cumshit
Seen from Ireland
sanskari randi
Seen from India
residentevilrule34
Seen from United States
pakistani tits
Seen from Saudi Arabia
snapchatt
Seen from United States
adanatravestiΜ
Seen from Turkey
sleeping #drunk
Seen from India
ΰΈΰΈΆΰΈΰΉΰΈΰΈΰΈΰΈΰΉΰΈΰΉΰΈ
Seen from Thailand
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers

































