@Sativa255 Sema baraka kwa ambaye hamjui ila utapeli na janja janja za kuwadanganya vijana hasa wanachuo kutaka kupata hela za haraka kuna dogo mmoja kalipia zaid ya 1m zile video zake hakuna alichoambuliwa hata kupata cashout
@mafolebaraka Lakin mzee na wewe utapeli wako kwenye magroup yako umewatapeli vijana wengi sana na hakuna aliyefanikiwa lkin ukiangalia asilimia kubwa ya watu wanategemea betting kwa sasa . Na kwa nini hawakufwati wewe wapate zile hela za mtandaoni acha kutumika kijana
Tanzania na nchi zingine kuna WEBSITE huwezi ingia
Hii site inaitwa https://t.co/n1qjjKPlG4 ni huduma ya bure ya mtandao (web proxy) inayokuwezesha kutembelea tovuti zilizozuiwa au zilizofungwa kwa haraka na kwa privacy, bila haja ya kulipia programu yoyote.
#MadiniYaGaby