Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo yetu tuwe ndani au nje ya CCM. Umri tumepewa na Mungu asiyetenda kosa. Ni mamlaka kutafakari ushauri wetu na kuupokea au kuupuza au kuuboresha KIDEMOKRASIA. Badala ya kujibu hoja wanakuja machawa kutushambulia kwa propaganda za kashfa za uongo. Kwa nini hamupeleki tuhuma hizo nzito mahakamani? Miaka nenda, miaka rudi? Hamuwezi kutunyamazisha tunapotetea haki, ukweli misingi ya amani na maslahi mapana ya taifa na mustakabari wa vizazi vijavyo. Jamii inayojielewa inatambua hamjui mtendalo. KAJISAHIHISHE
Kipindi hicho Job Ndugai alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe.
Humphrey Polepole alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe.
Abraham Kinana alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe.
Magufuli mwenyewe alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe.
Bernard Membe alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe.
Thadei Ole Mushi alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe.
Ole Sabaya alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yeye ameshika kwenye mpini.
Mpina alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo salama.
Wakina Nape, January Makamba, Tulia etc., walikuwa wanasikiliza na kucheka wakiamini wapo very safe.
Leo wote hawa ama ni marehemu au ni wafungwa kwenye open prison, hakuna hata mmoja aliyepo safe kama alivyofikiri.
Mwalimu Nyerere aliona mbali sana aliposema “UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI ENDAPO UTAPUUZWA.”
Tusome tena ANIMAL FARM, kuna mengi kwenye kile kitabu.
In response to the election protests between 29 October and 3 November 2025 in #Tanzania, security forces used unnecessary or disproportionate force, amidst a nationwide internet shutdown, showing a shocking disregard for the right to life and to the freedom of peaceful assembly.
Keep the spotlight on Tanzania and call for independent, thorough, prompt and impartial investigations into the human rights violations by security forces during election protests. Our latest findings, out now: https://t.co/us2wGmzpLX
#ProtectTheProtest #KeepEyesOnTanzania
In response to the election protests between 29 October and 3 November 2025 in #Tanzania, security forces used unnecessary or disproportionate force showing a shocking disregard for the right to life and to the freedom of peaceful assembly.
https://t.co/45QJBEcIqm
The United States values its longstanding partnership with the people of Tanzania, which has brought prosperity to our populations and security to the region. Recent actions by the government, however, raise concerns about the direction of our bilateral relationship. The future of our bilateral relationship with the Government of Tanzania will be based on its actions.
KATIBU Mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima amesema kuwa kuua watu hakutaweza kuwanyoosha watu na kwamba huwezi kushindana na vijana
"Tusipoondoa huu uchafu ulioingia kwa kudhani unaweza kunyoosha watu kwa kuuawa tutaharibu nchi vibaya mno huwezi kushindana na vijana na ukashinda,"
🆕
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Vijana wa kizazi cha "Gen Z" wanahitaji kusikilizwa zaidi badala ya kuhutubiwa au kupewa majibu ya zamani kwa maswali wanayohoji kisasa.
Maelezo hayo ya Askofu Bagonza ameyaandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, ambapo katika maandiko hayo amebainisha kwamba vijana hao hawana dini wala itikadi yoyote.
"Wamekuja Gen Z. Wametikisa misingi. Hawapokei majibu ya zamani kwa maswali ya kisasa. Hawajui cha mzazi maana hata wao ni wazazi tayari. Hawana dini, hawana itikadi, hawana passport wala mpaka wa nchi, na hawana miiko iliyoandikwa. Risasi haiwapunguzi, inawaongeza. Mabomu ni mbolea yao. Wanahitaji kusikilizwa siyo kuhutubiwa.
zingatia". ameandika Bagonza.
Askofu Bagonza amebainisha kwamba hakuna jambo lisilokuwa na mwisho, huku akisema kutokana na mtiririko wa mambo kwa sasa, ikiwa Gen Z watatoweka utakuwa mwanzo wa jambo jingine. Amesisitiza kuwa licha ya Gen Z kuwa hawatadumu milele, lakini ikiwa tofauti zitaendelea kuwepo litakuja jambo lingine kuliko hali ya sasa.
Ameongeza kwamba hakuna watu wanaoaminika pande zote mbili za mamla na Gen Z, na kwamba hakuna utamaduni wa kuwajibika wala kuaminiana linapokuja swala la maridhiano. Amesema kuna Tume huru zisizo na watu huru, na zenye watu wazuri wasiopenda kulaumiwa.
Askofu Bagonza amesema kwamba ili kujikwamua katika hali ya sasa, ukweli na haki vinapaswa kuzingatiwa, huku akisema historia inabainisha mambo hayo yatasaidia kuliondoa Taifa katika hali ya sasa.
Amehitimisha kwa kusema kwamba "Damu isiyo na hatia, isipokomboa inaangamiza”. Ardhi haiwezi kustawisha mazao kwa kunywa damu. Imetosha, tusimwage nyingine. Tutoe mahesabu ya iliyomwagika bila kigugumizi. Tuombe radhi kwa watu, na tuombe rehema kwa Mungu. Tunayo ahadi, “zijapokuwa nyekundu sana kama damu, zitakuwa nyeupe kama theluji"
Lissu alisema atakinukisha Yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa... Karibu Tanzania.
**VIRAL SCOUT MANAGEMENT**
We extend our deepest gratitude to every individual, organization, and community member who stood with us during this profoundly difficult time. Your unwavering support, compassion, and tireless efforts provided strength to the grieving families and our entire team.
After exhaustive search operations conducted in full cooperation with the families, local authorities, hospitals, mortuaries, and other stakeholders, we are heartbroken to confirm that we were able to recover the body of Omar Musa (15). He was laid to rest with dignity and peace in Dar es Salaam.
Tragically, the bodies of Abdulqareem, Mshani, John, Anthony, Rajab, and Peter could not be located despite relentless efforts across all possible facilities. It is truly horrible to face such loss without closure.
In a solemn ceremony, we buried flags and personal clothes as a symbolic farewell to victims. The families of all the victims have expressed profound thanks to everyone who participated in the search—your dedication will never be forgotten. As we know, focus on justice.
We are deeply saddened and continue to mourn their deaths together as one community.
VIRAL SCOUT MANAGEMENT
CEO
Director
Manager
Lawyer
Admin – Dar es Salaam
Admin – Morocco
Admin – Senegal
“There Is No Pressure When You Are Making Dreams Come True”
These people were bar owners (or were selling in a bar); they were followed inside and shot with live bullets.
Watu hawa walikuwa wanauza bar walifuatwa mpaka ndani wakapigwa risasi za moto.
@AlJazeeraWorld@UNHumanRights