@Kiganyi_@grok Mbona miaka ya nyuma tuliishi na panga lakini hatukusikia habari za hantavirus kwanini leo ndo tusikie kuwa inasababishwa na panya? There's a reasons behind π€π€
@MariaSTsehai Hii yote tunapumbazwa tu drama every where
Mara wakatoliki mara mwandambo ili watu tusahau tutoke kwenye msatari...msiwape air time hawa watu