‼️ALERT‼️
Huyu mtu mwenye hii namba anapigia simu Viongozi wa CHADEMA Mikoa ya kusini, ili kuwashawishi wamchafue Mhe. John Heche akiwaahidi kwamba wakikubali atawalipa shilingi milioni moja.
Ukienda Hospital ya MOI, asilimia 90 ya wagonjwa walovunjika MIFUPA, VIUNO na MIGUU, (wenye umri over 60 yrs) walindondoka kwenye nyumba zenye TILES, either chooni or whatever.
Na wengi wao ni wazazi au bibi/babu walotoka Vijijini kuja kusalimia watoto wao Dar es Salaam.
Vijana wengi wanauguza wazazi na bibi zao MOI sababu ya TILES. 📌 📍
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.
Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.
Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000
Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.
Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.
Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.
Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.
Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.
Watanzania tusikubali huu wizi.
🚨Pichani ni Meneja Jasmine Razack akiwa Cairo na mteja wake Kocha Rulan Mokwena baada ya kukamilisha deal ya kujiunga na Pyramids.
Wakati Bongo akiitwa Dalali na wengine wakimwita Winga, Yeye ameendelea kufanya biashara za uhamisho wa wachezaji na makocha wakubwa.
Huwezi kutafuta muafaka wa Kitaifa huku kiongozi wa chama kikuu cha siasa Nchini akiwa Gerezani, Huu ni usanii mwingine ambao hauna nia njema zaidi ya kuwapotezea watu muda. Huwezi kuikimbia Chadema kwenye kutafuta muafaka wa Kitaifa utakuwa unaweka maji kwenye Gunia, Ndicho chama kinachoungwa mkono na Watanzania kwasasa kuliko chama chochote cha siasa Nchini, Huu ndiyo ukweli Mchungu. #FreeLissu #Katibampya Time will tell!
VIDEO:
Licha ya tuhuma na 'mashambulizi' yanayoendelea kutoka ndani na nje ya chama chake, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche 'ameapa' kuendelea kusimamia kile anachokiamini na kwamba mara zote hatarudi nyuma katika kupigania maslahi ya Watanzania, kupinga matendo yenye viashiria vya rushwa, ufisadi na kuzidi kudai mabadiliko ya mifumo Nchini ikiwemo kupatikana kwa Katiba Mpya
Akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Mara, Heche ameendelea kukomaa na sakata la kupanda kwa bei za mafuta Nchini akidai kwamba kupanda huko si kutokana na vita vinavyoendelea Mashariki ya Kati pekee kama inavyoelezwa bali kuna 'mkono' wa watu wasiolitakia mema Taifa na Watanzania kwa ujumla wake, ambao wanafanya maamuzi kwa kuangalia maslahi yao tu
@HecheJohn ameenda mbali zaidi na kuhoji nani yuko nyuma ya kampuni ya VITOL?, huku pia akidai kwamba bei za mafuta kwa Tanzania ziko juu ikilinganishwa na Mataifa ya Uganda, Zambia na baadhi ya Mataifa mengine ya Afrika.
🚨 Emi Martínez on easy path to the final: “We didn’t choose our opponents”.
“Look… we had to face Portugal in the quarterfinals, but Colombia dominated against Portugal”. 👀
“Switzerland beat Colombia, and we ended up playing Switzerland”.
Mimi nawaambia ukweli kutoka moyoni, kama mlishindwa kumzuia Yanga kubeba ubingwa kwa mara 5 mfululizo basi kuna dalili za Wananchi kubeba kwa mara 7 mpaka 8 mfululizo. Siwatishi ila uongozi wa Yanga umechefukwa huko. Nipo hapa kusema tuombe uzima.
Martin Chegere aliyekuwa TO form 4 na Form 6, Best Student UDSM na Professor mwenye umri mdogo akiwa na miaka 39 tu, amefanya mahojiano na Gooluck wa Azam TV akasema yeye hakuwahi kuweka malengo ya kuwa TO, bali alikuwa anatumia muda vizuri na alijifunza hilo akiwa Maua Seminary
Kiukweli kama hii ndo Nyumba ya Heche, japo staki kuamini, basi Heche sio mbadhilifu, ile sio Nyumba ya hadhi yake compared tu Exposure na Legacy aliyo nayo,
Na kama ni yake, basi tunahitaji kuchangia apate nyumba atleast kama ya Boni Yai kama sio ya Mbowe.
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Benjamin Ntele, amesema kuwa mtu aliyejitambulisha hadharani kwa jina la Shaban Ally Mchezo na kudai kuwa ni Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini si kiongozi halali wa chama.
Ntele amesema katika kuthibitisha hilo, amemleta mbele ya waandishi wa habari Shaban Ally Mchezo halali, ambaye amewasilisha uthibitisho wa utambulisho wake kupitia Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na Kitambulisho cha Mpiga akura.
Akizungumza katika mkutano huo, Shaban Ally Mchezo amesema amekuwa akirubuniwa mara kadhaa ili akihujumu CHADEMA, lakini alikataa kufanya hivyo.
Amesema baada ya kushindwa kumshawishi, ndipo alijitokeza mtu mwingine akitumia jina lake na kujitambulisha kuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Kibaha Vijijini.
🎥: Zungu
#MeaMswahiliUPDATES
🔴 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋:
Pyramids FC have confirmed the departure of head coach Krunoslav Jurčić.
The Croatian tactician leaves the club after guiding Pyramids FC to their historic CAF Champions League triumph.
#AfricanFootball
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe @HecheJohn leo akiwa Mkoa Mara amezungumzia ufisadi unaofanyika kati ya TPDC na kampuni ya Vitol Bahrain EC inayoingiza mafuta Nchi Tanzania. Msikilize 👇
"Haya mambo haya mnayoyaona hakuna jambo jipya duniani. Kisa cha Yusufu si mnakijua kwenye Biblia? Ndugu zake walimkamata wakamuuza, si ndio? Akaenda Misri akawa mtu muadilifu, mkweli, asiyekula rushwa- akasingiziwa kwamba ametaka kutembea na Mke wa Potifa, akaenda gerezani akafungwa maisha, kwanza alitakiwa kunyongwa maana ni uhaini, kwahiyo haya mambo ya watu wema, waliosimama imara kama Lissu kusingiziwa na kuwekwa gerezani ni mambo ambayo yalikuwa tangu zamani.
"Sisi tutasimama na Lissu, atatoka na atatuongoza, atatoka na sisi tutamsaidia afanye uongozi wake vizuri na awe rais wa Nchi hii ili aivushe atupeleke kwenye Nchi ya ahadi."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema akizungumza na Wazee wa Tarime Mkoani Mara.