FEDHEHA NYINGINE: Mchezaji ambaye yupo kwenye eneo la offside hapaswi kunufaika na deflection au kucheza mpira uliookolewa na kipa. Sio goli halali kisheria. Another joke kutoka kwa mshika kibendera
@privaldinho Mshabiki ametoa pesa yake kwa kufurahia burudani wewe umeingia bure unampiga mtama mtu aliyetoa pesa yake kiasi hicho,haya ni matendo yasiyo ya kiungwana kwa mpumbavu mmoja asituchafulie taswira ya vyombo vya ulinzi na usalama michezoni.
Shabiki kupigwa uwanjani ni miongoni mwa matendo yasiyo ya kiungwana kwenye mpira wetu. Mpira ni fahari ya mashabiki.
Shabiki anapokosea zipo njia nzuri za kuwadhibiti. Itumike nguvu kubwa kuelimisha taasisi za ulinzi kuwa mashabiki sio wahalifu