Mzaliwa wa Arusha aliyesoma Old Moshi na Chuo Harvard. Akatumikia JWTZ kwa miaka 20 akawa Mbunge Arusha kwa miaka 10. Akawa Naibu waziri wa mambo ya Nje, Waziri wa Ulinzi na Spika wa Bunge la Afrika mashariki. Kanali Abdulrahman Kinana ameomba kujiuzulu nafasi yake ndani ya CCM
#SupaBreakfast: ''Viongozi wa CHADEMA hatulipwi bali tunagawana majukumu, Jukumu la nafasi ya mwenyekiti tumeona Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe anafaa, nguvu kubwa ya wenzetu wa Chama cha mapinduzi ya kutaka Freeman Aikaeli Mbowe asiwe mwenyekiti ni kubwa. Jambo ambalo linatufanya na sisi kusema huyu mtu anakitu ndani yake, yaani hata hao CCM wanatamani mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe awe mwenyekiti wao'' - @malisa_gj Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)
Tufuatilie muda huu kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #HainaKuchoka
I regret to announce the sudden death of our comrade Byekwaso Ali, aka Ali Benz who tragically lost his life in an accident this morning.
Ali Benz is one of the patriotic senior friends that I have known all my life from our old village in Kanoni-Gomba.
He was a great fan and associate through the years of our music career who featured in many of our music works over the years, including the famous ‘Byekwaso’ video.
Upon joining politics, he was among the first people from
Gomba that embraced the struggle and traveled the entire country with us on the campaign trail, enduring so many challenges including prison.
He was a dedicated and passionate member of People Power and NUP, and a senior foot soldier.
We shall lay him to rest tomorrow in Wasinda-Gomba at 2pm. Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un. May his soul rest in peace.
Mama Mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresia Mdee, amefariki dunia leo July 30,2024 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma alikokuwa anapatiwa matibabu.
Mama Mdee alilazwa katika Hospitali hiyo mara kadhaa kwa matibabu ambapo mara ya mwisho kabla ya umauti kumfika alikuwa amelazwa Hospitalini hapo kwa muda wa wiki tatu mfululizo.
Viongozi mbalimbali wamewahi kumtembelea kumjulia hali akiwemo Rais Samia ambaye alifika kumjulia hali Hospitali February 01,2024 akitanguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alimtembelea January 30,2024 na Spika wa Bunge alimtembelea January 31,2024.
Maziko ya Theresia yanayarajiwa kufanyika wiki ijayo nyumbani kwao Moshi Vijijini, taarifa zaidi kukujia. #MillardAyoUPDATES #PumzikakwaAmaniMamaHalima 🙏🏿
Ahsanteni wana Simba kwa kunialika kushiriki nanyi katika siku yenu muhimu hii leo. Hongereni kwa siku nzuri. Pongezi kwenu kwa kuendelea kutangaza utalii wa nchi yetu kwa kufikisha kibegi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Michezo inatuleta pamoja, inatupa burudani, na kudumisha amani na utulivu, lakini pia inachagiza katika kukuza uchumi wa nchi yetu.
Tumekuwa na mwamko na mafanikio makubwa katika michezo miaka ya karibuni. Mbali na Klabu ya Yanga kutinga fainali za Kombe la Shirikisho; Tembo Warriors, Kilimanjaro Queens na Serengeti Girls wametuwakilisha vyema kimataifa. Ahadi yangu ya hamasa ya kununua kila goli katika mashindano ya kimataifa itaendelea.
Mbali na Serikali kuendelea kuwekeza katika michezo, natoa wito pia kwa sekta binafsi kufanya hivyo. Nchi yetu ina mazingira mazuri ya kufanya biashara, na michezo ni moja ya eneo muhimu kiuwekezaji.
Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Kuandama kwa mwezi ni hitimisho la funga yetu lakini pia ni wakati wa kuendeleza misingi tuliyoishi katika siku hizi 30; misingi ya kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka, shukrani na ibada kwa Mwenyezi Mungu. Eid Mubarak.
Wishing you all a happy, peaceful, and joyous Eid al-Fitr. The sighting of a new moon marks the end of our 30 days in fasting and prayers, but calls us for a continuous commitment to compassion, the spirit of sacrifice, generosity, gratitude, and a life of prayer. Eid Mubarak.
Nitabuni mpango maalumu wa Kanda ya Kaskazini kuanza program maalumu ya utunzaji wa mazingira kama sehemu ya wajibu/kazi za chama.Nitaongoza wajibu huu.Kutunza mazingira ni Uhai. Kupanda miti itakuwa sehemu ya kazi za Chama Kanda hii.Kila mtu akijali Dunia itapona.
Robin joined me in Virginia Beach to talk about how the Affordable Care Act allowed her family to breathe easier after the Great Recession that Barack and I inherited in 2009.
Robin said it best: We can't rest on our laurels.
We need to protect and expand health care.