@SimbaSCTanzania Kwa hali hii itafika muda mashabiki wataacha kujitoa na kwenda kutazama mechi ya Derby hakuna jipya kwa simba , simanzi imekuwa sehemu ya maisha yetu linakuja suala la derby.. to be honest we're tired 😢😢
The only way @SimbaSCTanzania kubeba kombe msimu huu ni kuhakikisha tunampiga mtani 25, tutampiga vipi hilo bila shaka lipo mikononi mwa uongozi, benchi la ufundi lkn pia uwepo wetu kwa wingi uwanjani. #NguvuMoja
@FKihamu Me naamimi kwenye kila hatua kuna pesa kwanzia group stage hadi final ... Kwa mantiki hiyo simba kapokea pesa nyingi zaidi... Na hiyo 2.6B ni ya fainali tu .
Mziki wa singeli unafanya poa sasa kwa sasa ila ukiachana na burudani kutokana kwa wasanii wa singeli kuna hawa jamaa
1. Dogo mallo
2. Dogo Elisha
Jamaa wanajua sana hawa.