@og_outfits Nje ya madam wakuu. Hivi ukiwa na group O- na MWANMKE O+ mkizaa mtoto mwenye group A. Hivi anakuwa ni wako au sio?!. Mwenye kujua ajibu ili kiustaarabu wakuu
@mreno255 Yan Dem anakuganda ukija kuangalia Hana chochote Cha kuoffer uishi nae Hana at idea ya biashara yan yupo. Ndoman vjana tnachkua mishangaz hv vtoto jau hakina lolote kinatak ukihudmie kila ktu wakat Dunia ya sasa inahitaji kujituma kusaidiana maisha asa nashida Zang naww zako ten