Gamer ๐ฎ||Content creator โ๏ธ ||Advance Driver Grade 2 ๐ ||Simba sc Fans||Chelsea Fans|| Man of the People|| Shah Rukh Khan fans|| I โค Allah||
๐จRekodi zinaonesha kuwa, haijawahi tokea Kocha mkuu kutoka Simba akaenda kuifundisha Yanga, Au kocha mkuu aliyewahi ifundisha Yanga akaenda Simba.
Kwa mara ya kwanza Yanga wameandika historia hiyo ya kusajili Faldu Davis ๐ฟ๐ฆ aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Simba.
Mwanangu hakuna rafiki anaye weza kuingizwa kwenye mipango ya kukusaliti katika hali yeyote ile, ukaona rafiki yako ana shirikiana na adui kukuumiza huyo ni ADUI wako, mpunguze kwenye orodha ya marafiki zako, Waswahili husema Mwanangu heri ya pengo kuliko jino bovu mwanangu.
Wanetu mliotanguliwa kufanikiwa kwenye maisha, jitahidini sana kuishi vizuri na wana ambao bado wanajitafuta, haya maisha yana siri kubwa sana na hakuna anayejua kesho ya mtu.
Hakuna mtu aliye mkubwa kuliko taasisi. Bosi anakupenda pale tu unapomtengenezea faida.
Siku utakayofariki dunia ukiwa unatimiza wajibu wako, ndio siku thamani yako itakapoisha kwenye taasisi. Ila familia yako ndiyo itakayokukumbuka na kuona pengo lako siku zote za maisha yao.