Kwa sasa hakuna kiongozi wa CCM anaweza kuishi yale Maisha ya Hayati,Mwl. Julius K. Nyerere.
Kina Samia leo ni WANAFIKI wakubwa kujidai kuhamasisha kuenzi na kuishi maisha ya Mwl Nyerere hayo maadili hawawezi kuyaishi hata robo yake.
MSAFARA WA NYERERE MSAFARA WA SAMIA