Before nihame kwa ile crib yangu ya mabati,kuna day nilikua nimelala nikastukia kisu imeingia kwa ukuta bana,kumbe ni walevi walikua wanapigana, ilibidi nizibe shimo na ugali ndio baridi isinimalize. Nakwambia Kasongo atatumalisa one day,habana chesa.
When the game leaves you hakunanga otherwise utaona a fine hun and think to yourself "damn mungu ni fundi" and then go about your day with 0 urge to pursue.