Mwenyekiti wa Baraza la Chuo MUHAS, Dkt Harisson Mwakyembe amezindua mashindano ya MUHASSO Quiz Challenge 2024 yenye lengo la kuimarisha uwezo wa wanafunzi katika nyanja mbalimbali kitaaluma na kijamii na pia kudumisha umoja na ushirikiano baina ya wabafunzi..
@muhasso1
Yesterday, MUHAS students, staff, and alumni @MUHAS_Alumni gathered for an enlightening session led by Mr. Ryan Mitchell from the British High Commission. @UKinTanzania
Organized by the Internationalization and Convocation Unit at MUHAS under the leadership of Dr. @amour_maryam
Mashindano ya Win and Learn @WINANDLEARN1 Yamewadia
Jiandae kwa siku ya kusisimua ya ubora wa kitaaluma na ushindani mkali 🏆📚
Tukio hili ni kuhusu kuvuka mipaka, kupanua maarifa, na kuthibitisha kwamba Akili na Juhudi zinaweza kufanikisha Chochote🤗
Our People, Our Stand✊🏽
🌟 On May 28, 2024, MUHAS students and Dr Maryam Amour @amour_maryam visited Wingu Africa @WinguAfrica to thank them for their financial assistance to 24 students.
They toured the data center, learning about the company's values and commitment to future leaders.
Tunaungana na Mheshimiwa Raisi @SuluhuSamia na Watanzania wote katika kuomboleza kifo cha Dr Ali Hassan Mwinyi na Kutoa salamu za pole kwa Familia,Ndug,jamaa na Watanzania wote 🙏🏻
zaidi Kuenzi Historia yake Njema ya Uongozi katika Taifa letu na Chuo Chetu @muhimbiliuniver
🎉 Exciting News! 🎉
Introducing “ANAESTHESIA TALK” by TAAS @muhimbiliuniver —an educational initiative unlocking secrets of successful anesthesia.
Weekly sessions feature collaborative discussions with students and faculty from Tanzania, Uganda, and India.
@ummymwalimu
Pamoja na shukrani, Prof Kamuhabwa alitumia nafasi hiyo kuwaasa wanafunzi hao kuendelea kuweka juhudi katika masomo na taaluma kiujumla ili kuendeleza sifa njema ya chuo chetu @muhimbiliuniver.
Mnamo tarehe 15/02/2024,
Chama cha wanafunzi watoa dawa za usingizi na ganzi salama, (TAAS) kikiwakilishwa na viongozi wake kilipata nafasi ya kutoa pongezi zao kwa Prof. Kamuhabwa kwa kuteuliwa kuwa makamu mkuu wa chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi MUHAS.@muhimbiliuniver
First meeting of the year and we are very Grateful for the collaborative spirit which is a success as an association.
A big thank you to everyone involved;
Looking forward to achieving more together.
We are a proud TEAM.!!
#anesthetistsinmaking
#2024
Angel Frank ambaye amegraduate Dec 3 , 2023 na baadaye kuanza Internship yake Mkoani Mwanza.
Msiba umetokea Hospitali ya Bugando Mkoani Mwanza.
Rambirambi zinapokeleewa Kupitia Namba 0699386304(LUGWILA LIMBU) .
Bwana ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana na Libarikiwe🕊🙏