@mkandamizaji Hope your fine..pleas i request your support..
Kindly subscribe like comment and share
Click the link below
https://t.co/vNPWYhSyLV
Thanks
@HKigwangalla Naheshimu kazi kubwa uliyoifanya ndani y Wizara yko naamin umefanya kwa weledi na uwezo wako, ila kutokana na commet hi inanpelekea kutaman kujua unaitazamaje Wizara inayosimamia elimu n elimu ya Tz kwa ujumla? yaa`n wamefeli kiasi cha watu/mtu kushindwa kucomment kwa kiingereza
@godbless_lema nilishawishiwa kujiunga twitter sababu niliambiwa huku kuna wasomi zaidi watu smart..niajiunga nikiamini nita gain kitu,ila tokea nimejiunga mpaka nashindwa kuelewa hii ndio twitter niliyoambiwa au nimekosea..maana status na comment zinanifanya niwaze mara mbillix3..
@Mpambwe2 @godbless_lema nilishawishiwa kujiunga twitter sababu niliambiwa huku kuna wasomi zaidi watu smart..niajiunga nikiamini nita gain kitu,ila tokea nimejiunga mpaka nashindwa kuelewa hii ndio twitter niliyoambiwa au nimekosea..maana status na comment zinanifanya niwaze mara mbillix3..