Top 5 Big Nose Celebs in Tz
5.TiD
4.Baba Levo
3.Mwasiti
2.B-Twelve
1.Shemegi Yetu Kwa Vanessa Mdee
*Angalizo hawa Mastar wote ukibahatika ukikutana nao kwenye Lift au Elevator utapoteza Pumzi,Wana matumizi makubwa Sana ya Oxygen
Arusha Am in town tonight 7-03-2020 It's going Down at the PointZone Resort and The Fuzz,TiD the award winning Artist after 5 years since last show in Arusha.
It's Been 3 years since we celebrate 29th February,Ni YeYe Bash is all about Love,Music,LiveBand,NyamaChoma, Cocktails and beautiful Vocals from TiD& Kassim Mganga only at TipsyBull this Saturday
TiD and TopBaND wanawaletea "Vallentine On the BeaCh" Escape 2 Mbezi Beach, Performance by Kassim Mganga And Sam Mapenzi,14th February....ViP 50k plus Wine bottle and Cocktails,Normal seats 5k plus 2 beers
Nafurahi sana kumkaribisha RC wetu, Mnyama mwenzangu PAUL MAKONDA kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Simba akiwa kama Mshauri Mkuu (Senior Advisor). Karibu kaka. Pamoja tutajenga Simba bora zaidi! Hongera kwa uteuzi ๐๐ฝ