@somebarry Hivyo vitu ni vya lazima sana kwa miji inayoendelea. Miji Mingi ya China ambayo imekuwa Metropolitan Cities miaka ya 1980s ilikuwa kama hii yetu. Guta, GWagon, bodaBaiskeli, boda pikipiki, corrola iliyochoka nk.
@zoetjesheeftX Anzeni taratibu za mirathi. Nyaraka za kimahakama zikitimia. Mnapeka hizo nyaraka kwenye benki au mitandao ya simu. Hizo fedha zitapelekwa BOT kwenye account ya Mahakama.