Pata matokeo ya michezo zote za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa wakati #LIVE .
Sisi ni familia ya mpira utani ni sehemu ya mpira π π€
Follow Instagram ----πππ
Ukitaja wachezaji bora ambao wamewahi kupita Simba huwezi kuacha kumtaja Malota Soma ambaye aliitumikia klabu yetu kwa zaidi ya miaka 10. Jambo gani unakumbuka kutoka kwa fundi huyu wa mpira?
Mahojiano kamili yanapatikana kwenye Simba App. #NguvuMoja
Endelea kumpigia kura Chama au Kanoute ambao wanawania kuwa Mchezaji Bora wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kura zinapigwa kwenye ukurasa wa Twitter wa CAF unaohusika na mashindano ya vilabu.
#WenyeNchi#NguvuMoja
What a beauty! π
The best of Clatous Chama's 3οΈβ£ goals against Horaya AC had to be crowned with the #GoalOfTheWeek award for matchday 5π₯
#TotalEnergiesCAFCL
Mabingwa wa zamani JKT Queens wapo kileleni msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite, unawazungumziaje msimu huu wamerudisha makali yao?
@SerengetiLITETz @ranisanitarypa1@azamtvtz@CAFwomen
Klabu ya Azam imetangaza kumsajili mlinda mlango mpya, Abdulai Iddrisu raia wa Ghana akitokea klabu ya Bechem United ya nchini kwao kwa mkataba wa miaka miwili.
#UFMUpdates#AzamFC#Azam#Usajili
USAJILI AZAM FC: Klabu ya Azam imetangaza kumsajili golikipa mpya Abdulai Iddrisu raia wa Ghana akitokea klabu ya Bechem United ya nchini kwao.
Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, golikipa huyo amepewa mkataba wa miaka miwili.
#AzamFC#Azam#Usajili