Nsikilize Irene jinsi nnavyo kupenda tukmaliza O-level tutapangwa wote A-level na Combinenga itakua moja CBG Wengé Extra Musica “pia tuta kwenda Jeshi kambi Moco Ruvu,tukitoka uko tutapangwa Chuo Kimoja UDSM,field ntakua na ww Pale Chanika tutapata kazi Ustawi wa jamii, Ntakuoa😏
@TTandasi@McinikaWaLamar@kasesco_tz Gharama zote za kumnunulia chips yai kuku kila siku wakati kuna miamba inadaka tu first year inaingiza hostel free of charge mwezi mzima kila baada ya kipindi anaichapa
Naingia mwaka huu mpya nikiwa na imani kubwa kwamba mambo mazuri yanakuja. Naomba afya njema, mafanikio, furaha ya kweli, amani ya moyo, na nguvu ya kutimiza malengo yangu yote. Najiahidi kuendelea kupambana kwa bidii, kuamini uwezo wangu, na kutokata tamaa hata nyakati ngumu.🎁