Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akifungua rasmi Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Serikali Dar es Salaam-2023 lililofanyika katika Ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam tarehe 28β29 Julai 2023.
TYPEI tumeshiriki kwa uzuri jukwaani.
Katika mjadala wa kwanza katika Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Serikali Dar es Salaamβ2023, ndugu @OlengurumwaO kutoka @THRDCOALITION aliziwakilisha NGOs mkoa wa Dar es Salaam kuwasilisha changamoto wanazozipata kwenye masuala mazima ya kodi.
Tarehe 28β29 Julai, 2023 tulipata nafasi ya kipekee kushiriki karika Jukwaa la Mwaka la Mashirika yasiyo ya Serikali Dar es Salaam-2023 lililokuwa na kauli mbiu ya "Mashirika Yetu, Maadili Yetu, Taifa Letu".
TYPEI, tutaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kuwawezesha vijana.
Mzee Khalfan Kikwete baba mzazi wa Jakaya aliishi miaka 85,akashuhudia utawala wa kikoloni,vita ya pili ya dunia,uhuru wa nchi yetu na nchi ikifanya uchaguzi wa vyama vingi.Hakuishi kuona kijana wake akiwa rais lakini alikuwa ni nguzo iliyomjenga vema,Urafiki wao ulikuwa wa pekee