Matokeo ya Kura za Bajeti Kuu ya Serikali 2026 /2027.
Wapiga kura 393
Kura za Ndiyo -385
Kura za Hapana - 8
Sipigi kura - 0.
Bajeti Kuu ya Serikali Imepitishwa kwa Zaidi ya Asilimia 97%
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
Mwaka 1980 hadi 1986, Rais wa sasa wa Namibia, Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah aliishi Magomeni-Mwembechai, Dar es Salaam.Wakati huo alikuwa Mwakilishi Mkuu wa Chama cha SWAPO,nafasi aliyoitumia kupigania Uhuru wa Namibia.
Pia,akiwa Tanzania alifunga ndoa na mumewe,Epaphras Ndaitwah
TABORA
Mwenyeki wa Cham Cha Mapinduzi Mkoa wa Tabora
Ndg SAID JUMA NKUMBA (MNEC) akitoa salamu za Rambi Rambi Kwa kifo cha Mkt wa CCM Tawi la Nyambele Kata ya Itonjanda Wilaya ya Tabora.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
KALIUA
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya kaliua wamemchagua Mhe WILLIAM MAGEMBE kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya hiyo kwa kipindi cha 2025-2030
MHE MAGEMBE alipigiwa Kura zote 36 za ndio.
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
KALIUA
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya KALIUA wamemchagua Mhe ANNASTAZIA SANFORD BEBETE kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya kaliua kwa kipindi cha 2025-2030
MHE BEBETE alipata Kura 33 za ndio na Kura 3 za hapana
KAZI NA UTU TUNASONGEMBELE
TABORA
Leo 28/11/2025
Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Tabora
kimemteua
Ndg HAMIS SHABAN MLOLWA kuwa Mgombea wa Udiwani Kata ya NDONO Wilaya ya Uyui
kufuatia aliekuwa Diwani Mteule wa Kata hiyo kufariki
KILA LA KHERI
KAZI NA UTU TUNASONGA
TABORA
Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Tabora
28/11/2025 kimemteua
Ndg HAMIS SHABAN MLOLWA kuwa Mgombea wa Udiwani Kata ya NDONO Wilaya ya Uyui
kufuatia alikuwa Diwani Mteule wa Kata hiyo kufariki
KILA LA KHERI
KAZI NA UTU TUNASONGA
TABORA
NDUGU:KULWA SHUSHI Diwani Mteule wa Kata ya ITONJANDA amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Nafasi ya MEYA wa Tabora Manispaa
21/11/2025
KILA LA KHERI.
TABORA
NDUGU MUSA KAHOLWE Diwani Mteule Kata ya KITETE amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania kuomba kuteuliwa kugombea Nafasi MEYA wa Tabora Manispaa
21/11/2025
KILA LA KHERI.
TABORA
Ndugu GHULAMHUSSEIN DEWJI Diwani Mteule wa Kata ya KANYENYE amechukua fomu na kurejesha ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania kugombea Nafasi ya Meya wa Tabora Manispaa.
20/11/2025
KILA LA KHERI.
TABORA
Chama cha Mapinduzi Wilaya TABORA Mjini kimeendelea na zoezi la ugawaji fomu kwa watia Nia wa kuomba ridhaa ya CCM Kwa Nafasi za MEYA ,NAIBU Meya wa Tabora Manispaa zoezi hilo limeongozwa na katibu wa uvccm Wilaya ya Tabora Ndugu MUDHALU KAMUGA
KAZI NA UTU TUNASONGA MBEPE
TABORA
Ndugu:KESSY ABDULRAHMAN Diwani Mteule waKata YA GONGONI amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania Cha Mapinduzi kuteuliwa kugombea Nafasi ya NAIBU MEYA wa Tabora Manispaa
20/11/2025
KILA LA KHERI.
TABORA
Ndugu SALMA MWENDAPOLE JUMA Diwani Mteule wa Kata ya TUMBI amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania cha Mapinduzi kuteuliwa kugombea Nafasi ya NAIBU MEYA wa Tabora Manispaa
20/11/2025
KILA LA KHERI
TABORA
Ndugu: KHADIJA BUNDUKI Diwani Mteule wa Vitimaalum Tabora Manispaa amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuteuliwa na @ccm_tanzania cha Mapinduzi kugombea Nafasi ya NAIBU MEYA wa Tabora Manispaa
20/11/2025.
KILA LA KHERI
TABORA
Ndugu SALUMU MSAMAZI LUGEMBE Diwani wa Kata ya IKOMWA amechukua fomu ya kuomba ridha ya Chama cha Mapinduzi kugombea Nafasi ya NAIBU MEYA wa Tabora Manispaa
20/11/2025
KILA LA KHERI