Lissu inspires us always! Never back down! Samia Suluhu and her murderous cabal tried to break him - he has stood firm and refused to be a victim!
Mungu aendelee kumtia nguvu 🙏🏽
Tundu Lissu ni kiongozi wa kuigwa! 🔥
Walijaribu kumdhalilisha akagoma kuonewa LIVE! Ila uonevu unaofanywa dhidi yake imevuka viwango vyote
#FreeTunduLissu
Nimepokea message DM nyingi za wananchi wakieleza mashaka na hata hasira kuhusu Msigwa kurudi kwenye chama na kupokelewa
Naweza kuziweka baadaye msg hizi ila mi nawaambia kuna sababu mi sijawahi kuchukua kadi ya chama chochote ila nitasapoti chama kinachosimamia misingi na kuitetea! Muhimu tupambanie MISINGI! Mfano nina imani na Tundu Lissu kwani ameonyesha kuwa mtu wa msimamo asiyeyumbishwa na hadi leo wanamwita baadhi ya wanasiasa wenzake RADIKO 😁
Hata akitoka leo Lissu ataongea yaleyale na ndiyo maana hawawezi kumwachia! Ni juu yetu kumpambania! Ila kesho
akiwa Rais na kuanza kuzingua na kututeka nitamchapa spana hivyohivyo tena hadharani!
Ila kwa zama hizi hatuhitaji wanasiasa wa backroom deals! Tunahitaji wanasiasa wanaharakati! Huu ndo ukweli ingawa wanasiasa hawapendi kusikia haya ila ndiyo maana wananchi tunasimama ktk hiki! Na ndiyo maana wengi wenu mko disappointed! Don’t be! Tusimame kwenye misingi!
#freeTunduLissu
This is our focus! That’s all! Unamhitaji mtaani jana si kesho au mwezi ujao!
NOW!
Kwa wapenzi wa Chadema Tanzania nzima , huu ni wakati wa kuonyesha umoja wetu
Hali tuliyokuww nayo wote tunaijua
Kama mfumo umekufanya uote hii twit Tafadhali ritwit ifike mbali
Repost 990
Tusitolewe kwenye reli!
Ripoti ya Chande inasomwa tarehe 23 April! Mpo?
So wamepanga spinning kubwa ili tusi-focus nao!
Kwa hiyo akili kichwani! Wanataka tujadili mambo kama maneno ya Lissu ambayo yameripotiwa na hayajatoka kinywani mwake - eti maridhiano!
Focus! Focus!
Tunataka haki na uwajibikaji! CHADEMA is a victim as much as we all are!
Hold the line! Umoja wetu ndo nguvu yetu!
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu