#HTLibrary
Walioitazama wanasema hii ni interview bora zaidi ya Ben pol… Haroun Tambwe ft @iambenpol
Ni mahojiano bora yaliyofanywa na ndugu yetu wa karibu.
Katika mahojiano haya kuna mengi makubwa yamezungumzwa ikiwamo mambo muhimu ya kujifunza.
Kukaa kimya si ujinga ila ni stadi inayotumiwa na wachache wenye uwezo mkubwa kifikra kufunika kombe ili wanaharamu wapite, mara nying stadi hii huwafanya waliochagua ukimya kuonekana washindwa na badala yake wapiga kelele washindi na hakika hiyo ndio nature ya fikra za mpumbavu
Ingekuwa Chuki, Kuwasengenya wengine na kuwaombea mabaya ni mchongo.
Basi wote wenye kasumba hiyo wangekuwa matajiri kuliko Aliko Dangote
Ila bahati mbaya katabia hako ni moja ya vyanzo vya UCHAWI, UMASIKINI wa KIFIKRA na sio MAFANIKIO.
Wengine kifikra tulianza kuwa taifa la leo tangu jana, kwa hivyo hupaswi kushangaa kwa nini fikra zetu ziko mbali na kiwango cha uwezo wako mdogo wa kufikiri, tumeishaacha kubishana now days, hata ukilazimisha 2×1 = 40 sisi tunakupigia na makofi juu🧠.
Kuweka matarajio ya asilimia mia moja kwa mtu/watu wakati mwingine ni sawa na kuomba upewe lift Airport.
Weka matarajio ila yasivuke kiwango cha asilimia zitakazo kuathiri baadae🧠
Unapoamua kuuondoa ukaribu baina yako na marafiki waliojisahau na kuvuka mipaka kutokana na mazoea, jiandae kuonekana mbaya kwa jamii inayokuzunguka kwa sababu hawatasimulia ujinga uliosababisha ukawaweka pembeni, badala yake watageuza maneno ili uonekane wa hovyo #Akilikichwani
Unapoamua kuuondoa ukaribu baina yako na marafiki waliojisahau na kuvuka mipaka kutikana na maziea, jiandae kuonekana mbaya kwa jamii inayokuzunguka kwa sababu hawatasimulia ujinga uliosababisha ukawaweka pembeni, badala yake watageuza maneno ili uonekane wa hovyo #Akilikichwani
Mambo ya utandawazi bhana
Siku hiz ukiwa unaposti tupicha twako umeulamba tunguo twa kutokea, umejipaka mafuta kangozi kanang'aa.
Kila mtu ananza kuhis ushatoboa, unamahela yamejaa bank. Hiyo ndio time utaanza kukutana na stori za 'Tulimsaidiaga yule kaishatusahau'🤣🧠#Bongoland
Watu hawapendi kudanganywa kabisa kwenye maisha yao, ila cha kushangaza wasiopenda kudanganywa ndio ambao ukiingia kwenye whatsap status zao kila picha haijawekwa bila FILTER🧠.
Kila siku mnapiga mapicha makali halafu unapost peke yako🤣🤣
Acha kujiuliza kwanini rafiki/washkaji zako unaopigaga nao picha hawazipost, jiongeze tu, wengine wamezitunza inasubiriwa UFANIKIWE wazuge wakoproud na wewe 'walijua utafanikiwa', au UFE ili wazuge walikufahamu sana🧠
Aisee usijichanganye ukajikuta unaomba ushauri wa kimaisha kwa njemba iliyokata tamaa, au chuma kisichopenda maendeleo ya wengine.
Au fanya hivi, zingatia, akili za kuambiwa lazima uzichanganye na za kwako, inaweza ikasaidia.
Tuliza medula mjomba 🧠