@Sativa255 Ila kama alikula hela za Dully ipo siku atalazimishwa kuifanya kazi yake na ndipo tutamuona rangi yake kwani Mwamba si aliwahi kusema kua ATAKUA MTU WA MWISHO KUISALITI CHADEMA
@godbless_lema@odompopodo Kuahirisha ni jambo moja na jambo lingine inatakiwa uombe radhi kwa viongozi wako ulikosea taratibu za chama kwa sababu ilitoa ujumbe ambao haukuagizwa uutoe kiufupi ulikua na kiherehere. Onba radhi kwa uongozi wa chama na kazi ya upambanaji iendelee
Nimetimiza AHADI YANGU KUCHANGIA CHADEMA 1M baada ya kufikisha MILIONI 300 (NIMEFIKISHA JUMLA 7M NDANI YA SIKU 46).
Niliacha kuenda KANISANI na kuwa muumini WA HAKI.
SADAKA yangu siku zote ni kuchangia WAPIGANIA HAKI.
Nilianza kampeni hii ya kuichangia chadema kwa kuchangia 1M siku 46 nyuma.
Nikaja kuanzisha challenge kwa wapenda HAKI WENZANGU kwamba tukifikia MILIONI 100 basi nitachangia tena 2M Nilifanya hivyo.
Nikaongeza challenge kwa WAPENDA HAKI kama tutafikia MILIONI 200 basi nitachangia tena MILIONI 3 nilifanya hivyo.
Kisha nikaongeza Challenge kama tutafikia MILIONI 300 basi nitachangia tena MILIONI 1 leo nimefanya hivyo.
Mpaka sasa nimechangia jumla ya MILIONI 7 ndani ya siku 46.
Lengo la hii kampeni ni kukusanya MILIONI 334 bado milioni 33 kwasasa tunaweza kufikia.
Kuchangia CHADEMA kwangu ni SADAKA baada ya ibada KAMILI YA KUPIGANIA HAKI.
Kama ulichangia basi fanya KUCHANGIA TENA NA TENA kama nilivyofanya mimi.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
REPOST 500