Udhalimu hata damu za watu zikamwagika
Mungu anasema ole wenu,ole wenu,ole wenu
Ole wenu mliowauwa ndugu zetu na kuwajeruhi kwa silaha za moto
Ole wenu mliotoa amri ya watu kuuwawa kwa sababu ya vyeo namali
Ole wenu wazeewanafiki mlioshauri haya yatokee
ole wenu waliokaa kimya
@MariaSTsehai Wanatusaidia sana kuonyesha maandama
Pia wanasaidia kuonyesha dunia ukatili wao
Wanasaidia kuonyesha wawekezaji ukatili wa nchi yao
Wanasaidia pia kupmyesha kiwango chao cha uelewa unapokomea

@HildaNewton21 Kama wana akili waache huo mpango mfu hauna maana
Wale watakaovalishwa sare watawajibika wao kama wao na watashtakiwa wao kama wao
Nashauri chadema wasiwaache wawafungulie mashtaka ya kukinajisi chama
@lifeofmshaba@TunduALissu Wana tabia za wachawi
Anauwa anawahi msibani kulia na kigaragara chini apoteze ushahidi
Hata hivyo wao ni zaidi ya wachawi mana wanauwa wanakazia tumeuwa makusudi wakibanwa ndio wanataguta huruma kwa chadema