@akech_andrew In these construction budgets, contractors will be paid in local currency and not USD. Everyone knows that the cost of living in Kenya is very high at the moment due to IMF conditions. The Kenyan currency is rapidly depreciating in Kenya.
USIDANGANYE
@akech_andrew You are making a very big mistake by changing the development budgets of local countries to USD. Here we know that you are bringing propaganda with numbers to deceive people. Put the local currency of each country and analyze the Local purchasing power of the currency within each
@Kenyans Ili ujue thamani ya bajeti hiyo ya Tanzania. Ngoja tuchuke bei ya umeme tu. Bei ya umeme Tanzania ni Tsh 230, Kenya ni Ksh 29.
Ksh 4.8 trillion/29 unapata 165,517,241,379.31 Unit
Tsh 62.33 trillion/230 unapata 271,000,000,000 Unit
@Kenyans Ujinga wako ni kuiweka bajeti ya Tanzania ambayo inatumia Tsh kwenye Ksh. Mishahara, malipo ya miradi ya ndani hazilipwi kwa Ksh. Ili uweze kuelewa weka bajeti ya Tanzania TZS 62.33 trillion na hiyo ya Kenya Ksh 4.8 trillion ipi inaweza kununua vingi ndani?
@rugilandavyi Ujinga wako ni kuiweka bajeti ya Tanzania ambayo inatumia Tsh kwenye Ksh. Mishahara, malipo ya miradi ya ndani hazilipwi kwa Ksh.
Ili uweze kuelewa weka bajeti ya Tanzania TZS 62.33 trillion na hiyo ya Kenya Ksh 4.8 trillion ipi inaweza kununua vingi ndani?
@rugilandavyi Ili ujue thamani ya bajeti hiyo ya Tanzania. Ngoja tuchuke bei ya umeme tu. Bei ya umeme Tanzania ni Tsh 230, Kenya ni Ksh 29. Ksh 4.8 trillion/29 unapata 165,517,241,379.31 Unit Tsh 62.33 trillion/230 unapata 271,000,000,000 Unit
@rugilandavyi Ili ujue thamani ya bajeti hiyo ya Tanzania. Ngoja tuchuke bei ya umeme tu. Bei ya umeme Tanzania ni Tsh 230, Kenya ni Ksh 29.
Ksh 4.8 trillion/29 unapata 165,517,241,379.31 Unit
Tsh 62.33 trillion/230 unapata 271,000,000,000 Unit
@KennedyMmari TIPS imeleta mabadiliko makubwa sana Tanzania kwamba Bank na MNOs wameunganishwa pamoja. Huko Kenya M-Pesa amshikilia kila kitu, Mabenki nayo wanafanya kivyao.
Wakenya wamebaki na sifa za kizamani sana wapo nyuma mno. Kenya hakuna interoperability
For years, Africaβs mobile money story has been told through Kenya.
Not anymore.
Tanzania now has 75.8M active mobile money users, nearly 2M agents, 2.79M merchants accepting digital payments and TZS 2.83T in trust accounts.
This is no longer a financial inclusion story. Itβs an infrastructure story.
Our latest analysis explores what Tanzania has built and why it matters.
https://t.co/hLR0FCjf1s