Kada mashuhuri wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ametoa pendekezo la kutafutwa kwa msuluhishi huru wa kimataifa na ndani ya nchi ili kulinusuru taifa kutokana na madhila yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa #Tanzania
Professor kama Professor
Kuna wakati ni vigumu sana kujadili hoja za hawa jamaa pasipo kuzungumzia taaluma zao
Kinchi ambacho mpaka leo kinategemea mikopo na misaada kujazia bajeti nacho kinapayuka namna hii
Kusupply condoms tu changamoto, mpaka USAID waje
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye usafiri wa mwendokasi mara baada ya kuzindua na kutembelea Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka awamu ya Pili, Dar es Salaam
#Tanzania
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameagiza aliyejenga ghorofa 13, badala ya ghorofa sita kama zilivyoidhinishwa katika eneo la Masaki, Dar es Salaam abomoe leo.
🇹🇿🤝🇺🇬 #Udugu, diplomasia na ushirikiano wa kikanda vinaendelea kuimarika. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni Ikulu, Dar es Salaam, katika ziara inayolenga kuendeleza ushirikiano wenye manufaa kwa
Wale ambao hawaamini kuwa #Tanzania ina uwezo wa kujitegemea nawakaribisha kwa utulivu mmsikilize Msomi na mbobezi wa kitaaluma, Profesa Kitila Alexander Kanyama Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji akiichambua safari ya Tanzania kujitegemea kibajeti.
Rais Samia Suluhu Hassan amekataa ombi la wachimbaji madini kuhusu kupewa ruzuku kutoka serikalini akitania kuwa wana pesa kiasi cha kufanya harusi kwa helikopta.
#tanzania
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi, Wakili Dickson Matata amedai kuwa kiongozi wa dini na mwanaharakati, Sheikh Said Mwaipopo, amekuwa akijihusisha na mpango wa kurubuni watu ambao si wanachama wala viongozi
#Tanzania
Mjane wa Baba wa Taifa Mama #Maria Nyerere akipokea zawadi ya picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya hafla ya uzinduzi wa Hospitali Kuu ya Rufaa ya Rais #Julius Nyerere (Hospital dos Queimados Presidente Julius Nyerere) iliyopo Kilamba, jijini Luanda,
President #Trump leaves the White House for his high-stakes Cabinet meeting at Camp David.
Press Secretary Karoline Leavitt says it will be the first televised Cabinet meeting from Camp David.
Exclusive interview na mchezaji mpya wa kimataifa kutoka bondeni Afrika Kusini, Keletso Makgalwa tayari inapatikana kwenye Simba App. Ingia sasa kuangalia mahojiano haya ya kuvutia. #NguvuMoja