#breakingnews
TANZIA
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MWENYEKITI MTENDAJI WA MAKAMPUNI YA IPP DR. REGINALD ABRAHAM MENGI, KILICHOTOKEA DUBAI, U.A.E USIKU WA KUAMKIA LEO. MUNGU AILAZE ROHO YA DR. REGINALD MENGI MAHALI PEMA PEPONI.
πππ
Uhuru wa nchi yetu ni mkubwa zaidi kuliko kitu chochote,lakini haki ya kila mtanzania ni jambo jingine muhimu.Tuvilinde na kuvithamini hivi vitu viwili kwa sababu ndiyo msingi wa maisha yetu.
@willyc993 Wananchi na wawakilishi kuna vijana,watu wa makamo pamoja na hao wazee,Kwa hiyo usipate tabu kuhusu wananchi na wawakilishi tafuta hao wazee ulioaminishwa uone busara zao.