~ Full member of Tanzania Pharmaceutical Students Association (TAPSA) Branch of
~ Ruaha Catholic university (RUCU)
~ ON Fb TAPSA RUCU & Instagram @Tapsarucu_
Chama cha wanafunzi wa famasi TAPSA kwa kushirikiana na Skuli ya Famasi - chuo kikuu cha Muhimbili(MUHAS) na Chama cha wafamasia Tanzania (PST) inakuletea...
PHARMA EXPO AND WALKATHON 2023-MSIMU WA KWANZA.
Tarehe 20, 21 na 22 Septemba 2023, Maonyesho ya Huduma za Dawa,....
Definitely you need to hear about this VOYAGE (2003 ➡️2023).
#MIAKA 20 YA BARAZA LA FAMASI
Yes, This wednesday we will have a chance to hear from Pharmacy Council Registrar(@tapsatanzania MATRON).
TURN ON your TV 🔛
#TBC1
WAZIRI UMMY ASIKIA KILIO CHA AJIRA ZA WATAALAMU WA MAABARA
NA WAF- DODOMA.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amemwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Afya kufanya uchambuzi wa kina kwenye kada za Afya kuanzia ngazi ya Taifa mpaka Zahanati ikiwemo kada ya Wataalamu wa Maabara ili kuweka kipaumbele sahihi katika kuajiri Wataalamu wa kada ambazo zina upungufu mkubwa katika Sekta ya Afya kulingana na mahitaji ya nchi.
Waziri Ummy amesema hayo akiwa anajibu hoja za wataalam wa maabara waliohoji mitandaoni kuhusu changamoto ya ajira za wataalam wa maabara zinazotolewa na Wizara ya Afya pamoja na Ofisi ya Rais TAMISEMI.
"Wataalam wa Maabara ni kada muhimu katika utoaji huduma bora za Afya, ni kweli kuwa tiba sahihi ya ugonjwa inategemea huduma za uchunguzi wa magonjwa (Maabara na Radiolojia). Kuhusu idadi ndogo ya Wataalam wa Maabara nimesikia kilio chenu na tayari nimeshamuelekeza Katibu Mkuu." Amesema Waziri Ummy.
Aidha, Mhe. Ummy amesema muundo mpya unaoelekea kuanza Julai 1, 2023 utakuwa na Kurugenzi kamili ya Huduma za Uchunguzi (Directorate of Diagnostic Services) ambayo kabla ya hapo ilikuwa ni eneo (Section) chini ya Idara ya Huduma za Tiba (Directorate of Curative Services).
Leo ni Siku ya Sikoseli Duniani. Kitaifa inaadhimishwa Jijini Dodoma katika Kituo cha Afya Makole huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu. Karibu uweze kupata elimu juu ya ugonjwa huu. #TunaboreshaAfya # MtuniAfya
As @tapsa_kam we owe deepest gratitude to our beloved leaders @tapsatanzania for their support and encouragement. They are the guiding light that propels us forward, inspiring us to embrace opportunities in pharmqcy profession. They did it, God did it, big congratulations to them
Get ready for the hottest event of the year! @tapsa_kam Chapter is bringing the heat to Dodoma with our Annual Scientific Conference! 🎉💥 We new, we lit n we're takin' over! 🚀 Join us as we break it down and make moves in the #pharmacy profession. Ain't nothin gonna stop us!
🥳🥳 _NATIONAL PHARMACY WEEK AND 14th TAPSA ANNUAL SCIENTIFIC CONFERENCE 2023✨✨✨✨✨_
Guest of Honor will be *THE ONLY ONE*
_TANZANIA MINISTER OF HEALTH_ , Hon.UMMY MWALIMU.
Why would you let this chance pass ASIDE ??
BOOK YOUR SEAT NOW 📝
REGISTER®️
Professionalism to Young pharmacists in pharmacy practices is a pillar for good pharmaceutical care delivery.
We shall hear from these GURUs in pharmacy practices to equip young and upcoming pharmacists to deliver in their FULLEST.
#14thASC#DODOMA@tapsatanzania