Waziri wa TAMISEMI @ummymwalimu Amesema matamanio ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona miundombinu ya barabara inaboreshwa ndio maana ameongeza bajeti kutoka Sh bilioni 273 mpaka Sh bilioni 966 kwa mwaka wa fedha 2021/22.
#NUKUU YA WIKI:
Kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan.
Mapokezi ya Rais Samia JNIA
Septemba 25, 2021.
#CCMApp
📍Dodoma
"Kuna baadhi yenu hamuheshimiani, hamusikilizani nendeni mkaheshimiane,DC anasema hili DAS anasema hili, DED anasema hili mwingine anasema hili, mnavutana kwasababu fedha zinapoingia kila Mtu anataka amege fungu atie mfukoni mmoja akikataa mivutano inaanza"-Rais Samia
#ALATDODOMA Nimepita katika baadhi ya Halmashauri na Madiwani wanakushukuru sana kwa uamuzi wako wa kulipa posho za kila mwezi kutoka Serikali Kuu kwani umethamini kazi za Madiwani - Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu
Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaongozwa na Kanuni za kudumu za mkutano na uongozi za 2008, uchaguzi hufanyika mara tu baada ya kuchaguliwa kwa viongozi ngazi za chini na kuundwa kwa Mabaraza ya Halmashauri - Katibu Mkuu ALAT, Elirehema Kaaya
Waziri wa TAMISEMI @ummymwalimu Leo akiwa Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho ya Miaka 40 ya Shirika la @WV_tanzania amesema Shirika hilo limefanya kazi kubwa na nzuri katika kuimarisha ulinzi na ustawi wa watoto, kuboresha huduma za Afya, Elimu, Maji, Kilimo ktk Mikoa mbalimbali
Kisiki alikuwa mzuri kwao Twitter wakati anasema wanayopenda, akiwakosoa anakuwa mbaya. Watu wa namna hii wakiwa na madaraka makubwa watakuwaje? Mtu kama wewe na mimi tutaweza hata kusema "ndugu hujafunga zipu"? Unapenda demokrasia ila huamini demokrasia? Mungu Ibariki Tanzania.
Jan 2021,Naibu Waziri @ortamisemitz Mhe.@DavidSilinde alifanya ziara Mkoani Mtwara alitembelea Shule ya Msingi Namalombe iliyopo Nanyumbu na kukuta shule ikiwa na darasa 1 linalotumika na madarasa 2 yanayojengwa kwa nguvu za Wananchi yakiwa kwenye hatua ya Lenta na Choo cha nyasi
Hongera nyingi kwao kwa kuchangia maendeleo yao. Serikali kupitia @ortamisemitz tutawaunga mkono wananchi hawa kwa kupeleka Shs. milioni 12.5 kwa kila boma moja la chumba cha darasa. Viongozi wenzangu huko site tukileta fedha hizi tusiwaumize wananchi, #TamisemiYaWananchi
Leo Kigoma, Kikao na Sekretariat ya Mkoa wa Kigoma. Ujumbe wangu kwao "Sekretariat za Mikoa sio "Vijiwe" ndani ya Utumishi wa umma, bali zinapaswa kuwa daraja la kuchochea kasi, uwajibikaji na ubunifu ktk kutatua kero za maendeleo ya wananchi ktk Halmashauri #UwajibikajiMikoani
#ZiaraniKigoma - Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais @SuluhuSamia imedhamiria kwa dhati kutatua tatizo la miundombinu ya barabara nchini. Fedha za kujenga barabara Mkoa wa Kigoma kupitia @TaruraTz zimeongezeka kutoka shs bilioni 1.2 mwaka 2020/21 hadi bilioni 14 mwaka 2021/22
Mhe Rais @SuluhuSamia katika sekta ya Elimu mwaka unaoanza Julai 2021 serikali ya awamu ya Sita italeta bilioni 2.4 kujenga shule mpya ya Sekondari kata ya misungwi itakuwa na madarasa 8, maabara 3 na nyumba 2 za walimu, huyu ndiye Samia Suluhu aneyeguswa na kero za wana Misungwi
Kikao cha Rais Mhe @SuluhuSamia na Vijana. @ortamisemitz itatekeleza kwa kasi, ufanisi na ubunifu maelekezo ya Rais ya kutatua changamoto za vijana kwenye Halmashauri zetu ikiwemo kupata mikopo isiyo na riba, Elimubora kwa Vijana wa Sekondari na huduma za Afya rafiki kwa vijana
#KaziIendelee . Mwaka wa fedha 2021/22 ni mwendo wa Sekondari mpya ya Kata kwa kila jimbo nchini. Kazi hii itakwenda sambamba na kujenga madarasa mapya ktk shule za Msingi na Sekondari zilizopo ili kuweka mazingira mazuri ya Elimu kwa watoto na vijana wa kitanzania