Alhamdullilah Safari imekamilika
Sasa TZ tuna app moja tu ambayo inaDeal na Deliveries (PEKEE) ndani ya Dar na MIKOANI
@deliviosend iko FASTER kuliko Goli la kwanza.
June mwishoni na July kila kona ya DSM na majiji makubwa ukiona KIJANA amevaa hii una parcel mpatie.
Ukikwama pahali piga simu +255 759 490 245๐ซก
@bonifacejoseph_ Phase 2 inaenda cover zaidi ya mikoa 17 pamoja na sehemu kubwa zaidi ya Dar. Kwa sasa, naona challenge kubwa iliyobaki sio infrastructure tena โ ni marketing na customer awareness tu.
Modern offices donโt need smoking rooms anymore.
They need cry rooms with soundproof walls and free Wi-Fi so you can break down while still replying โNoted, thanks.โ ๐
Benki Kuu ya Tanzania imetengeneza platform ya Forex trading inaitwa EMS!
Itaanza rasmi Mwezi Huu May 2026
Lakini haipo kwa ajili ya vibua!
Je, una tredi vipi? Lot Size zioje? Pitia maelezo hapa chini
Mwenyezi Mungu akuhifadhi Fam @Ninja_Damour
Natamani Ulogin nitaniane na wewe kuhusu Mkato Vs Tamaduni. Nikutanie kuhusu HITS
Nimekaa nimeumia vile mwanaume machozi yanaishia ndani.
Familia yako, marafiki zako, na sisi wote tunakusubiri. Hii sio kawaida, na haitakiwi kuwa kawaida.
Rudi salama bro, bado tuna mambo mengi ya kumalizia ๐ค
#FreeNinja