Defensive midfielder Leandro Paredes giving Argentina coach Lionel Scaloni some tactical lessons. This is why defensive midfielders (or deep lying midfielders in general) tend to turn out as good coaches. They see.
Nimesafirisha Speaker 3, ZEALOT S89 yenye thamani ya 800k, JBL BOOMBOX 4 ina AI mode yenye thaman ya 1.2M na W KING D20 yenye thaman ya 700K kwa basi za Allys kutoka Dar kwenda Mwanza na zote zilifika salama bila hata mchubuko yani kampuni iliyotukuka hivi ndo ikuubie dagaa😅
As a fanbase collectively we need to never forget this Trossard season. Disgustingly clutch in pivotal moments. Playing out of his mind. Pay rise? Worth every penny.
Wafanyabiashara acheni uhuni jaman mnaua brand wenyewe alafu mnakuja kujiliza kisenge senge humu, ile ya ardhi sio issue ya kwanza ni almost ya tatu sasa ina maana makonda wa mabus wanakula dagaa zake yeye tu 😅😅aaagh sio kweli
@iamkizzyh iko hivi kama Gari umenunua japan Tsh 15m
halafu ushuru wake 11m
TRA wataliuza Tsh 12m au 14m wao wanauza wapate tu ushuru ule ulioshindwa mambo umenunuaje hawataki kujua
na kama haukumaliza kulipia usafiri wataliuza kukava kila kitu
wanafanya hivyo kwenye mizigo yote
Uliupeleka mwenyewe mpaka ofisini,kama ulimpa boda wako una uhakika box lilifika na mzigo, hakuna namna mtu atamiliki milioni 400 aibe mzigo wa samaki au dagaa, wala hakuna konda ataiba ili aharibu kazi yake ya kila siku,na sio vizuri kuharibu brand ya watu kisa box la dagaa!