Mimi wasiwasi wangu mkubwa katika vitanzi,sindano na vidonge ni mwenza wangu kupata mwili mkubwa( kunenepa) kutokana na matumizi ya njia hizi
Ni upi wasiwasi wako katika sindano,vidonge, condoms na vitanzi?
Nilijifunza kutumia uzazi wa mpango kutoka kwa mwenza wangu baada ya kuniambia kuwa hawezi kuwa na mtoto kwa sasa kwani bado ana malengo mengi ya baadae.
je, ulijifunzia wapi uzazi wa mpango na ni nini kilipelekea wewe kuamua kutumia
Hofu yangu kuhusu uzazi wa mpango kwa njia ya condoms hasa kwa mwenza wangu ni je ni vipi kama mpenzi wangu akitumia uzazi wa mpango na ukamletea madhara kwa afya yake.
Vipi wewe mwenzangu hofu yako ilikua ni ipi?