Kuna wazo zuri sana tumelipokea la kuanzisha tawi la Yanga twitter, kama wewe ni shabiki wa Yanga na unahitaji kuwa sehemu ya tawi naomba tuwasiliane, DM ipo wazi. Nadhani tunaweza kuvunja rekodi ya kuwa tawi lenye wanachama wengi katika historia. Tafadhali RT kufikisha ujumbe π