Naitwa That Mbeya Guy, nimeshiriki Sports Photography Competition iliyoandaliwa na Ubalozi wa Ufaransa na Alliance Française de Dar es Salaam! Nipigie kura kwa kugusa link hapa chini na kupiga kura kwenye Instagram Poll – picha yangu ni J4. Asanteni kwa sapoti yenu! 🙏
Kuna hiyo Class ya wana hapa X yaani wakiona kama hivi MASELA tuliokulia Mtaani tunaEnjoy hii MIZIKI iko Live na maisha yetu wanaumia sana
Utaskia “Wanachania masela” ko mnataka mchaniwe nyie kama nani? Class yenu ni gani? Nyie ndo mnaSET standard ya HipHop kama nani?🤣
Mnaikumbuka Familia ya Baraka, ana familia ya watoto wawili na mke Mmoja, hali ya Baraka ni ya ulemavu hawezi kufanya kazi ngumu, maisha yake yanamtegemea mke wake ili aweze kuishi ila kunamna tutamsaidia huko mbeleni, leo nimemleta kwenu na jambo jingine.
Day 8: We entered Botswana via Kazungula bridge. The roads were good at first, but always watch out for elephants. The last 300kms (Nata - Maun), however, outdid Malawi. It was so bad that there were “Potholes” road signs. Took us 8hrs and almost hitting an elephant
Kipindi naamua kuingia kwenye fani ya Digital Marketing, ilinibidi nijielimishe kwanza. Changamoto niliyokuwa nayo ni gharama za internet pamoja kupata mahali tulivu pa kujisomea.
Bahati nzuri, kulikuwa na facility inaitwa American Corner pale Maktaba Kuu. Ilikuwa inaendeshwa na Ubalozi wa Marekani. Mule kulikuwa na internet ya bure, viti na computer. Na kiyoyozi of course.
Basi nikawa naenda kushinda pale kuangalia video za online courses. Nilifululiza kuenda pale kwa miezi mitatu, nikahitimu mafunzo yangu binafsi ya kujiongezea maarifa mapya yenye uhitaji sokoni.
Sasa fikiria ningekuwa kule kwetu mkoani. Au tusiende mbali, tuseme ningekuwa nakaa Chanika au Chamazi. Ningemudu kweli kusafiri kwenda American Corner?
Shida kubwa ya vijana Tanzania ni kwamba wakihitimu na kuondoka vyuoni, wengi wanarudi makwao ambako wanakumbana na uhaba au ukosefu wa nyenzo za kujifunza na kujiendeleza. Mwishowe wanasahau hata kile walichokisomea.
Tuje kwenye point yangu.
Kuwapatia billion 2 digital creators ni sawa na kuwapa samaki badala ya kujenga madarasa yenye vifaa vya kujifunza uvuvi. Waandaa maudhi hawa tunaowaona na kutaka kuwapa fedha, kama yule aliyetajwa na Makonda, they have weathered untold challenges na kuna wengi wanashindwa kuanza.
Tujenge mazingira ya wengi kuibuka, not funding the output.
Mimi ni zao la zile Shule za Kata. Kama tumeamua kuingia na kufaidika kwenye uchumi wa digitali, basi tujenge tena Digital Workspaces za Kata.
@iHumphreyz@BPKAA_@MarekaMalili Upo sahihi nilienda kwenye event ya Sugu ah mzee kwanza wahudumu ni kama unawalazimisha wakupe huduma. Pili vitu ghali sana nikajisemea hili eneo la kuja watasha tu sio waswahili wa maisha ya kati