Ninachokiamini hata wao nafsi zao zinawasuta kama ndani ya nchi yako na kiapo cha kuilinda nchi yako mauaji yaliyotokea ni makubwa mno bora ingekuwa ajali lakini kilichotuua sisi ni Risasi za moto.More than thousand people killed๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
@TitoMagoti@MariaSTsehai Tunaremba historia ya marehemu maana ukitoa hizo shahada mbalimbali historia ya marehemu haimalizi sec 10 pamoja na msomaji akiwa na kigugumizi๐๐๐
@Wakazi@DicksonRMushi Tunachelewa kuboot kugundua bongo hakuna hata mmoja mwenye kujua hilo comedy is the real situation of life to make it in storytelling sasa hawa wakwetu
@Sativa255 Chuma zetu 4 safi ,goal la mama anakula Bashite,Msigwa,Kabudi na Karia manina hairudi hazina hiyo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.Ushauri wangu toeni team๐คจ๐คจ
@EduTalkTz Wajinga ndio waliwaoo na hiki ndicho kinatuchelewesha kama taifa,maana mbali na nguvu za giza na ujinga vichwani mwetu ni mkubwa mno!!,ila tutafika
@Roma_Mkatoliki Ila Mkato wewe una mahisia kama yangu kabisa yaani, Sema nini kuna ma Gen Z yanapendaga ujiko muda sio mwingi utasema mambo si ndio haya sasa kaa kwa kutulia
Since the October 29 massacre, the planner of the water disaster and the perspective have completely shifted and we believe that the water problem leads to forgetting our brothers who were killed, so that's fine, but let's focus on the WATER problem.