"Sisi waislamu tumepata faida kwa kipindi hiki kifupi. Dini yetu na Mungu wetu amesaidia mmoja wa waamini wetu ameshika usukani wa nchi ya Tanzania, naye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amekuwa kiongozi wa Tanzania, maana yake ni nini? Kama mama huyu asingekuwa ametengenzwa vizuri katika imani nzuri ya dini ya Kiislamu, yenye mafunzo sahihi, tusingeweza wala dunia isingemuona kama anafaa kuwa kiongozi. Kwahiyo matarajio yangu ni kwamba, wanaopaswa kuanza kumsemea mema Mheshimiwa Rais ni nyinyi Waislamu, lakini wakati fulani huwa inashangaza sana unapokuta Muislamu safi anakuwa kinara wa kumsema hovyo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni chimbuko la kwenye nyumba yenu"
"Kwahiyo inapaswa mjivunie, mjidai, na tena ikiwezekana mnamwambia Mungu kwamba kijiti hiki akishikile vizuri, kwasababu akiharibu yeye, ni matusi kwa Waislamu wote; kwamba Waislamu hawa ukiwakabidhi nchi hawawezi. Kwahiyo nyinyi ndio msaada mkubwa kwa vinywa vyenu kumtakasa, kumsaidia, na kumfafanua Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwasababu yeye ni mali ya kwenye lango lenu, ni mali ya kwenye misikiti yetu, ni mali ya kwenye shule na skuli zetu, mpaka leo anakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
@Dullah1185895@ALHelmsman_14 Aiyaaaah..KIGO CAMP wapi bweni La KIFARU tujuane hapa. Ndugu @ExMayorUbungo unaikumbuka hii CAMP??? Hapa alisoma Mzee mkapa na MAGWIJI kibaooo . Lete picha nyingine
UTASINDIKIZA WENGINE hadi Lini.
USIPITWE na Hii semina
Tutajifunza yafutayo.
1. Utofauti wa Malengo na Matamanio.
2. Kwanini Kila unapofanya jambo halikamiliki
3. Kukosa MSUKUMO WA NAFSI na kipi ufanye
4. Kupewa Ushuhuda binafsi na mbinu zilizotumika.
(JISAJILI SASA)
@Sirjeff_D Kamwe usimkejeli au kumdharau au kumdhalilisha mwingine hata kama umefanikiwa lolote. Kuna mungu, Kuna maisha na wanadamu huzikwa na watu. Ni wakati dada wa kujitahidi katika kutazama ulimi kama umenielewaa
@sajo_mwaihabi@SuluhuSamia Hakika kabisa. Uzalendo ni VITENDO nasi Tupo nyuma ya ndugu yetu huyu kumuunga mkono. MUHESHIMIWA RAIS @SuluhuSamia hili ni KUHAKIKISHA MAADUI watatu tunawakabili Vyema..UJINGA,MARADHI na Umasikini. Kwa semina hizi VIOLENCE HAKUNA
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dr. @SuluhuSamia shkamoo ππΎ
Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyejiajiri katika ofisi yangu, lakini pia ninajishughulisha na maswala ya Biashara na Masoko.
Kubwa zaidi ninatoa elimu mbalimbali kuhusu Biashara kwa jamii yangu ya Kitanzania, kupitia vipawa nilivyojaaliwa na Mwenyenzi Mungu.
Mhe. Rais, Nimekuja kwako kwa jambo Moja tu kwa ajili ya Vijana wa Kitanzania. Vijana wengi wako mtaani na wamekosa AJIRA pamoja na kuwa na Elimu kubwa.
Matokeo yake, Vijana wengi wamekuwa WALEVI, WAIZI, WARAIBU WA KUCHEZA KAMARI n.k
Mh. Rais, binafsi nimeandaa mkakati ambao kwa kiasi kikubwa utapunguza hili wimbi la vijana kuwarudisha kwenye mstari wa kujipatia vipato vyao. Lakini pia utaimarisha UCHUMI wa Kila kijana na Taifa litasaidika.
Mkakati huu haupo kwa ajili ya kukosoa au Kuwafundisha kazi wasaidizi wako (Mawaziri na watendaji waandamizi), lakini ni mkakati wa kuwasaidia mahali ambapo pengine hawajafanikiwa kuona vyanzo vya changamoto za Vijana.
Mhe. Rais, sote tunajua, endapo vijana tusipo tengeneza misingi mizuri, tuwe na Uhakika kizazi cha kuanzia miaka 10 ijayo kutakuwa MASIKINI wa kutupwa. Nikaona Bora Tumkunje Samaki Angali Mbichi!
Mhe. Rais kwa uwezo wangu nilio nao, na baadhi ya support kutoka kwa wadau mbalimbali na baadhi ya viongozi, tumefanikiwa kuandaa Semina za mafunzo kadhaa ambazo zimeleta matokeo chanya.
Na hivi ninvyoongea, tayari nimeanzisha YOUTH INCUBATION PROGRAM ambayo tunaendelea kuwamentor vijana waliohudhuria semina hizi, na kuwapa uwezo wa kuingia kipato.
Hivyo basi, naomba nilete Maombi yangu kwako kama ifuatavyo:-
1. Naomba ikikupendeza kuonana nawe ili niwasilishe plan nzima na Mikakati yake.
2. Utuwezeshe Mimi na timu yangu, pengine na vifaa tutakavyohitaji kufanya kazi.
3. Uwe na IMANI na sisi kile nitakachoenda kukifanya. Kwa ajili ya Taifa hili tulilopewa na Mungu.
Ahsante kwa kusoma, naamini umefurahia pia. Na Nitafurahi zaidi endapo kama utaniji chochote hapa, ikikupendeza. Ahsante sana πππΎ
Wako Mwananchi Mtiifu,
LUSAJO L. MWAIHABI.
#MonetizeYourTalent
#GrowYourCareer
Mh. @jokateM hongera kwa majukumu.
Nimesimama kwa niaba ya vijana wengi waliokosa ajira na wanapambana KIUCHUMI.
Vijana wengi wako mtaani na wengi wanahitaji kujifunza UJUZI mbalimbali ili waweze Kufanikiwa KIUCHUMI na kuzikwamua familia zao na jamii zao.
Binafsi, niemejitoa kwa 100% kwa ajili ya TAIFA langu, nikipambania MAONO ya kiuchumi kwa miaka 10-100 ijayo. Ambayo yatatekelezwa na vijana. Maana endapo hawa vijana wakifanikiwa ni Faida ya Familia zao, Jamii zao na kwa TAIFA kwa ujumla.
Ndio maana nikaamua kufanya WORKSHOP TRAINING kwa hawa vijana ambao tutawapa elimu juu ya UJUZI na namna ya KUUZA TALANTA zao.
Workshop hii, natarajia kuifanya kwa NCHI NZIMA, lakini naanzia Jijini Dar. Kwa awamu hii, natarajia kuanza na VIJANA 50 wasio na Ajira. Ambao watahudhutia seminar hii bila malipo.
Sasa Mheshimiwa @jokateM na dada yangu, naomba Support katika kufanikisha hili. Budget nzima ni Tsh. Milioni 2.65 ili kufanikisha tu ya Dar.
Lakini pia Mheshimiwa sio lazima utupe pesa., Bali unaweza kutulipia tu Yale Mahitaji yetu
Naamini za Mikoani wapo wadau ambao wataamua kusimama nasi wakishaona Impact iliyopo.
Mh. @jokateM natanguliza shukrani za dhati kwa kuwa umetuelewa Vijana wenzio wa Taifa hili la Tanzania na utatusupport.
Ahsante ππΎ.
Wako,
Lusajo Mwaihabi
Business Consultant & Marketing Strategist
@MalisaGJ_@SuluhuSamia Msijifanye WASHAURI kama ni watovu wa NIDHAMU...kabla ya kutukana kiongozi ungeweza kushauri . Ila kwakua adabu mlishauza na mmewekeza ktk kutukana zaidi ni nasaha Gani za mpumbavu zikawa na maana??
@mdudechadematz Kwa wivu ulionao na roho ya kishetani inayokutafuna UNATAMANI hata UNGEOLEWA...Uwe MKE wa RAIS wa KIUME Fulani unayemtaka wewe.... Hopeless mind