Mjadala wa GPA? GPA ni kwaajili yako. Sio kwaajili tu ya ajira ya BoT au big entities. Good score will open plenty of doors for you. Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma. Mengine - bahati na kudra, ni ziada!
@Pure_Alizeti@ReganTesla_ Ni ukweli bro. Watu wamekaririshwa connection, I also have 2 people nawajua vizuri tu wamepata kazi tena kwa kupitia ajiraportal hapohapo BOT…
1. Shahidi wa kwanza kutoa ushahidi alikuwa ni ASP Goefrey Lutufye, miaka 47 kutoka Arusha.
2. Shahidi Lutufye amesema yeye ni polisi tangu 2003, anasema April 3,2025 akiwa Doria na wenzake waliwadaka vijana wakiwa wanakula njama za kuzuia uchaguzi baada ya kuona video ya Lissu
kibanda bila kuonekana, na yeye amejibu kuwa anahofia usalama wake . Pia amemuuliza nani anagharamikia gharama za yeye kuwa Dar anasema leo mahakamani ameenda na usafiri wa mawakili.