@OLOFU09@FKihamu Tozo ya PID ni mahususi kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari na itatozwa kwa mizigo ya import ... Na ni kwa bandari za Tanga, Dar na Mtwara tu sio kila bandari na lengo lake ni kuhakikisha tunaboresha miundombinu ya bandari kupunguza msongamano na kuongeza tija
@FKihamu Sio wanataka kuitambulisha wamekuja ku waambia wadau kuwa tozo ya maendeleo ya miundombinu ya bandari (PID) inaanza mwezi wa saba kwa mizigo yote ya import kwa bandari za Tanga, dar na mtwara... Hiyo sheria ishapita
@MrCEO001@FLihinda@fintanjr_ Ana maana kuwa dini hiyo ilisambazwa kwa upanga ๐ ๐คฃ ni kama vile Adolf hilter leo hayupo ila ndio aliifanya ujerumani kuwa very strong nation kwa wakati wake ila he was bad guy
@kwaheshima@LifeofSteph_1 @sapro_phyticus4 Hapana sio kweli mie mwenyewe ni mtufaika wa ajira portal nimepata kaz bila mtu na wana kibao nawajua wamechukua bila kazi bila connection
@ability_ink@alexmbawala3@LifeofSteph_1 Nakutumia account nyengine ni ngumu maana kwa sasa ni lazima uweke namba zako za NIDA bro lbda uwe na namba mbili za nida ๐
@Pure_Alizeti@ReganTesla_ True kaka watu wengi wanaishia kulaumu nadhani mwaka Jana walitangana nafasi za T.O hao hao BOT nina classmate wangu amepata pale hakuna mambo ya favoritism ukikaza na kusoma unatoboa mzee
@slapfix@fumbokhanJr Hawawezi kukumbuka watoto wadogo afu hizi kampuni sio za kwako we piga hela mzee kampuni za watu hizo we tafuta maokoto ueke Familia yako pazuri
@TMnyama4_ Kwanzaa unatakiwa mmshukuru kwa kukusomesha kuanzia chini mpk Hapo chuoni ana mchango mkubwa Sana kwenye maisha yako..
Pili kaa vzr na mama yako umuulize kwann mzee alisema vile kwann yeye sio mwanao Kuna ki2 nyuma ya pazia itakuta ni kweli
Tatu, we mshukuru tu hata kama co bab
@MarekaMalili Na hapo kashindwa kumtukana kisa kelele za wajinga wajinga mtandaoni kuwa anazalilisha wanawake! Sasa mtu kama huyu unampa maneno mazuri ya nn hapa anakula tusi na makofi juu
@mshambuliaji@bajabiri Sio walimteua hata wananchi pia wanapenda hii uku x kuna unafiki tu, umeona pale alivyokuwa anamwambia Yale maneno wananchi walikuwa wanashangilia..! Kifup ashalijibu hilo Leo hatishiki na kelele zao na hayo maneno ana deserves huyo mtumishi maana ni mzembe na mla rushwa
@shabo_629275@swahilitimes Yes mkuu huyu mwamba anajiamini kikum.. Hakuna mtu wa kumfanya lolote lbda aliempa kazi tu ๐ ๐คฃ ๐ kelele zao hazimfanyi ashindwe kulala