@MakisMD@RobertKennedyJr@BretWeinstein May God bless you, sir!! Doctors gave me 5 months to survive πͺ, very lucky by the end of the 4th month I came cross your post, emailed and got response all for free, today is my 5th day on IVM and Mebendazole, I see remarkable changes, I'm actually moving on my feet.
@Sativa255 Aliyeshika msumeno kafungwa kamba mguuni hiyo kama imeshikwa na aliyevaa ushungi mwekundu, vyovyote vile mwenye ushungi kianguka ataanguka na aliyeshika msumeno
@Issaabally28@BongeLaAfya Hapo sasa nimekuelewa chief lakni ili nielewe vizuri kabsa Lab Tech waliokuwa wakitafutwa kwenye hiyo post ni wa namna gani!? Kama ni Hospital Lab lakni paper likawa la Industrial hiyo kweli ni irrelevant test!!!
@Profesaa___ Watu wengi wanaoshindana kutafuta followers mara nyingi akili zao huwa ni ndogo, huyu anawaza mafao ya mama yake na followers 1.2k π¦ππππ Mwendawazimu ππππ in Kiboko ya Chawi voice
@Profesaa___ Kaona wewe ni hopeless directionless kakupa laki tano ule na uonge wanawake kama kawaida yako!!!! Mzazi siku zote anatamani kuona unafika mbali angeona mwelekeo angekupa hata nusu ya hiyo 230. Hasa mama can do almost everything to see her kid prospering