If you catch yourself saying "watu hawatoki nje SAABU WAAOGOPA MAANDAMANO"
Please work on your cognitive security.
You're easy to own.
Watu waliobaki ndani ni wale waloambiwa wabaki sababu wakiandamana watauliwa.
Ikumbuke hii,
usisahau leo ulikua mfungwa kwenye nchi huru!
Tupate starter kabla ya lunch:
1) Watu waliojifungia nyumbani leo wanazungumza nini, wanakumbuka nini?
2) Watu waliofunga biashara leo walifikiria nini, wanazungumza nini leo, wanakumbuka nini?
Utawala wa damu wa Samia Suluhu hauna nafasi Tanzania.
Na bado! #SamiaMustGo
Hatuweki huu upumbavu hapa kwamba tunataka huruma ya MSAJILI, hapana. Tunaweka huu UPUMBAVU hapa kuonyesha mbogamboga walivyo WAPUMBAVU. Mwenyekiti wa wanawake wa mbogamboga wote ndiyo huyu? MSAJILI atajikausha kama anaaga maiti. Huyu maza ubongo wake ameacha mochwari? Sasa angetufanya nini? Angetuua wote? Sisi tukisema haya maneno, watavumilia? Je, ana uhakika bila bunduki za DOLA hawa mbogamboga wanatuweza? Maza kama huyu, anamuweza nani? Anyways, MAVAMPAYA yanataka damu. YAMEPAGAWA.
Sio lazima kukutana na viongozi wa CHADEMA, ndio usajiliwe kuwa mwanachama....ingia playstore pakua app ya chadema digital jisajili kuwa mwanachama...🙏
Ishi kidigital na mwanademokrasia.✌️
Dear @didierdrogba
Are you aware that the illegitimate government that has invited you to Parliament seized power on October 29, 2025, after killing more than ten thousand Tanzanians?
They have offered you money that is tainted with the blood of our brothers and sisters who were murdered. They believe that your presence in Tanzania would lend legitimacy to the atrocities they have committed against us.
If those who were killed were your own relatives and their blood had been shed, would you still accept this invitation from these killers?
#TanzaniaMassacre #TanzaniaIsBleeding #Mo29
Uhuru wa Tundu Lissu hauepukiki! ✊🏾🔥
Kumshikilia ni kuitangazia dunia hofu. Heshima ya kiongozi haijengwi kwa pingu, bali kwa haki na busara. Huwezi kufunga mawazo wala upendo wa wananchi kwa kuta za gereza.
Mwachieni Lissu, mwachieni mwanademokrasia! 🇹🇿
#FreeTunduLissu #HakiItawale #Tanzania
Leo umetimia mwaka mmoja tangu Mdude Nyagali avamiwe nyumbani kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya ambao walimjeruhi na kisha walimteka na kuondoka nae mpaka leo hatujui wamempeleka wapi.
Tukikomboa nchi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera na RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga watatuambia waliko mpeleka Mdude.
Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour