Leo ndo ile siku ya mlipuko mkubwa pale jangwani,tunatambulisha vyuma viwili alafu tunaenda mapinduzi.follow @yangasc1935 @YangaPrincessSC @TheSniperB52
NENDA youtube channel ya @yangasc1935 subscribe,
NENDA playstore download @yangasc1935 app
then follow me @TheSniperB52
Ukiingia Havana, mji mkuu wa Cuba, unashangaa. Barabara hazijajaa magari ya kisasa yenye โtouchscreenโ na WiFi kama tulivyozoea.
Hakuna IST, hakuna Hammer, wala magari mengine ya kifahari ya kisasa tunayoyaona mitaani mwetu.
Badala yake, macho yako yatagongana na mandhari ya kihistoria magari yenye muundo wa kizamani, yaliyotoka miaka ya 1950 hadi 1970.
Yakiendelea kuzunguka mitaani kwa mbwembwe kama vile ni jana tu yalitoka kiwandani.
Lakini kwa nini Cuba ni tofauti hivi?
Je, ni mapenzi yao tu kwa magari ya kale?
La hasha, ni historia iliyojaa siasa, vikwazo, na ujanja wa hali ya juu wa kuhimili mabadiliko ya dunia.
Miaka ya 1950, Cuba ilikuwa ikinufaika sana kibiashara na Marekani. Wacuba walikuwa wanaagiza magari mapya kwa wingi kutoka Marekani.
Jana pale Lusaka, Zambia, imefanyika harusi ya kukata na shoka kati ya Jimmy Karabassis na Kadi.
Kadi ni binti wa mfanyabiashara maarufu mwenye asili ya Senegal anayeishi Zambia, Abdoulaye Ndiaye, anayefahamika sana kwa jina la Papa Gounass.
Thread:๐
Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria Victor Boniface anayekipiga katika klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani
Mapema mwaka huu ameripotiwa kuachana na mpenzi wake wa muda mrefu, Rikke raia wa Norway.
Hii ni kwa sababu Rikke alitaka ndoa bila mkataba wa mali ikiwa wawili hao wataachana ukumbuke kama hakuna mkataba manake mkiachana mali ni nusu kwa nusu.
Unajua watoto waliotoka katika familia maskini wengi wao huwa makini sana na mali zao haswa akikumbuka alipo toka
Endelea Na Uzi โคต๏ธ
#HABARI Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti Mkoani Arusha Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na โWatu Wasiojulikanaโ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabari na kueleza kuwa watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya mahojiano
Amesema Watu hao walimchukua kwa nguvu huku wakimpiga, akapelekwa sehemu ambayo hakuifahamu na kuingizwa kwenye chumba kisha kuanza kumshambulia.
โNilivyoona ile style ya ukamataji nikapiga kelele kwamba Natekwa, wakanipiga sana wakanitupa ndani ya gari โCruiserโ nikafungua mlango wa gari upande wa pili nikagipa kelele zaidi bahati nzuri kuna wanananchi ambao waliona lile tukio na wao wakapiga kelele wengine wakarusha mawe, wakakimbia nikiwa ndani wakanifunga vitambaa viwili na pingu mikononiโ- Mchungaji Gumbo
Mchungaji Gumbo alitabiri vifo vya askari, na video yake ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
#EastAfricaTV
Papa Leo XIV amesisitiza kuwa familia inajengwa na muunganiko wa Mwanaume na Mwanamke tu na sio vinginevyo. Papa ameyasema hayo Ijumaa ya leo na amesisitiza pia haki ya maisha kwa watoto ambao wako tumboni. Papa Leo amesisitiza masuala haya ambayo ni msimamo wa Kanisa Katoliki.
Huyu ndo George Maratu. Enzi zake alikuwa ana ripoti habari kutoka Mkoa wa Mara na alikuwa na style yake fulani hivi ya kipekee sana, ukimsikiliza lazima utabasamu. Sijui siku hizi yako wapi?
KWA-MKAPA INAWEZEKANA
Comeback ipo Kwa-Mkapa tena nyeupe kama tissue, ule mchecheto wa dakika 20 za mwanzo na Mpanzu leo kakojoa kitandani pia, halafu Mpanzu tangu nusu fainali ya pili pale SAUZI sio yuuuulee. Kombe hili litabaki TANZANIA ๐น๐ฟ