@kijanajasiri123@swahilitimes Ubaya hajanyenyekewa aliamua mwenyew kustaafu kuchezea Taifa ,shida vionhozi hawana plan yoyote ya kutafuta vipaji vingine zaidi tunaajza kuchukua wachezaji wa ndondo mataifa mengine
@amina_hafidh@EsirEid Na swala la wakristo kuwachukia waisalamu nitakuukiza ni lini waislam washai kuwa mstari wa mbele kuatetea waislau wenzao ,kinaonekana ni uoande mmoja kuwa na nguvu ya utetezi kuliko nyingine ambayo yenyew imeamua kukaa kimya hat kwenye mambo mabaya wanayotendeaa wenzao
@amina_hafidh@EsirEid Kama weww unajaji kwann chadema safu yao ya uongozi haina muislamu basi wewe ndo unaleta huoo udini na ni uoumbavu mkubwa sana ,Inshort tunahitaji viongozi kwa sababu ya uwezo wa kuwajibika na kuwatumikia wananchio na sio kwa sababu ya dini hta kma wote wangekuwa waislamu wakrsto
@EsirEid Ukichukia ya udini na ukabila ya sativa basi na ww jiatafakari ni mmoja ya watu wanaohubiri udini mara nyingi sana humu upo kundi hilo hilo la wanaharakati wa udini
@BillyTronix1 Ila ukiachana na wanaharakati wachache shida inaanzia baadhi ya viongozi na waumini wanatumia migongo ya dini zako kufanya siasa husussani siasa chafu za watawala hapo ndio shida inapoanzia kupandikizwa kwa chuki za kidini kwa sababu watu wanakereka na haya mambo.
@BillyTronix1 Haya mambo anayoongoa huyu mshikaji jau sana ni kama anazidi kuhalalisha mauaji ya watu ,Nani atalipa watu waandamane ,utalipq wangapi waandamane ,watu wengime ninwa kuwa nao makini sana sijui kwann wanapewa airtime?