MIRADI saba ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 13.306 inatarajiwa kuzinduliwa, kuwekewa mawe ya msingi na kutembelewa katika Wilaya ya Kisarawe wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru katikati Wilaya ya Kisarawe leo.
France World Cup π«π·
Player Version
π·οΈ = 30,000
Sizes; S,M,L,XL, XXL
π; 0715 950 110/ 0743 111 311
π; Kariakoo (Congo/Narung'ombe, Handbags Tower,1st Floor)
"Join us for Light the Path! π Celebrating women with disabilities & caregivers through food, empowerment & clean energy. Live cooking comp, networking & more! #LightThePath#ParaChefsTanzania
Contact us 0683463920
Nyota wa Tanzania Jaruph Juma amefunga bao moja akiisaidia timu yake ya Ain Diab kupata ushindi wa magoli 5-3 dhidi ya Jadida kwenye mchezo wa Ligi ya Soka la Ufukweni Morocco
Washiriki wa kozi ya Waamuzi chipukizi ya FIFA leo wameendelea na mazoezi ya vitendo kwenye uwanja wa Kituo cha Ufundi cha TFF, Kigamboni, kozi hiyo ya siku 5 inashirikisha Waamuzi 31
Timu ya Taifa ya wanawake ya Futsal imeemdelea na mazoezi katika uwanja wa Shule ya Filbert Bayi, Kibaha kujiandaa na fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Philippines Novemba 21-Desemba 7, 2025
Waamuzi wa Tanzania Tatu Malogo, Zawadi Yusuph, Glory Tesha, na Amina Kyando wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Kufuzu Kombe la Dunia Wanawake Namibia vs Zambia utakaochezwa Dobsonville, Johannesburg, Afrika Kusini Oktoba 22, 2025.
@tplboard
Waamuzi wa Tanzania Zawadi Yusuph na Glory Tesha ni miongoni mwa Waamuzi walioteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa wanawake U20 Ghana vs Tunisia utakaochezwa leo katika uwanja wa Accra Sports, Ghana
We are hiring
ITM Tanzania seeks a motivated Executive Assistant with a Bachelorβs in Business Administration, HR, or related, with 3β5 years of experience.
Apply: https://t.co/nTjnCJIx8Y
Deadline: September 19, 2025.
#ITMGroup#ITMTanzania#WeAreITM
Nyota wa Tanzania, Jaruph Juma amefunga goli moja akiisaidia timu yake ya AIN Diab (Casablanca) kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Kecbou Knetra kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Soka la Ufukweni Morocco
Mchunguzi Mkuu Kiongozi TAKUKURU, Zainabu Bakari Issa akitoa mafunzo kwenye Semina kwa Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kupiga vita upangaji wa matokeo kwenye mpira wa miguu @tplboard