Anaitwa Larry Modowo mwandishi wa habari kutoka Kenya ambaye ameshiriki kikamirifu katika uandaaji wa Documentary pale CNN ya kile kilichotokea tarehe 29, Sisi kama Watanzania tunashukuru sana hatuna cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu akufungulie milango zaidi.
Kwanini EFM wamefuta video hii?
Uchambuzi mzuri kama huu kwanini unafutwa?
Haya muda wa kuisambaza hii video kwa speed umefika.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Only 1K Repost It’s enough to tell the world that Tanzania is not safe. Police brutality is increasing day by day because of the election, and the president @SuluhuSamia remains silent.